gongolamboto
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 1,185
- 570
Acha uongo wewe. Ni timu 24 siyo 26Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimefuzu timu 24, je hizo 30 zilizobaki je? Wakati mwingine tutoe pongezi tumejitahidi hata kufika hapo, kinachotakiwa tu ni kuongeza nguvu kwa serikali na wadau wengine kuwekeza kwenye mpira. Tena mimi ningependa ile bilioni ya maandalizi ya Afcon ingepelekwa kujenga academy ya kisasa.Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usishangae kukuta huyo hata ni katibu mkuu wa bavicha taifa. Na bado watataka wakabidhiwe nchi.Haya ni matokeo ya pingapinga, mtu unaweza ukajikuta unapinga hata jinsia yako.
Mavi yakoKama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu zipo 24Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
" 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa "Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri ametumia matako kufikiriAcha uongo wewe. Ni timu 24 siyo 26
Ona aibu wewe. Kama hujui chochote usi comment. Wanaojua wanakushangaa hapa, na wanajua wewe ndiyo umetumia matako kufikiri na mavi kuandika. Mama yako atakuwa anasikitika kuzaa mtoto zuzu kama weweNafikiri ametumia matako kufikiri
Hahaha!!!Ona aibu wewe. Kama hujui chochote usi comment. Wanaojua wanakushangaa hapa, na wanajua wewe ndiyo umetumia matako kufikiri na mavi kuandika. Mama yako atakuwa anasikitika kuzaa mtoto zuzu kama wewe