Kugombana na wife akaamua kufunga vitu vyake na kuondoka je, ni lazima kuondoka na house girl?

🀣🀣🀣🀣🀣 aaaah... Eti unalalamika kabisa
 
Habari wakuu mimi mgeni kidogo hapa kuhusiana na hili suala je ni lazima wife kuondoka na house girl pale inapotokea mmegombana?
Hapo kuna mambo mawili.
1. Ameondoka na house girl ili akukomowe na usipate msaada kabisa hapo nyumbani pindi atakapo kuwa ameondoka.
2. Ameondoka na house girl kwa kuhofia kwamba unaweza ukaanzisha mahusiano ama kumtafuna house girl wakati hayupo.
Na kwamtazamo wangu, huyo ameondoka kwa kukutisha tu, tena nakushauri uwe na amani tele maana soon atajirudisha mwenyewe hapo home na utaendelea kumnyanduwa kama kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima maana hakuna sheria iliyosema au kuhalalisha hivyo,, pili yule ni house girl sio house wife kwa hiyo ni lazima abaki kwa ajili ya kuhudumia nyumba otherwise labda mke aondoke na nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu mimi mgeni kidogo hapa kuhusiana na hili suala je ni lazima wife kuondoka na house girl pale inapotokea mmegombana?
Unahitaji ushauri ila hahahahahaha kicheko kinakuja, kamwe hawezi kukuachia na wala sio busara kufanya hivyo, hata akimuacha inabidi umrudishe kwao maana italeta tafsiri nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimhusishe dada wa kazi kwenye maugomvi yenu, abaki aendelee na kazi.... kwa vile ni uhakika kuwa mke atarejea tu hivyo asisumbue watu.
 
πŸ˜€πŸ˜€ ulitaka akuachie
Dime,
Hao ni wale wanaume wachafu wasiojithamini utatakaje dudu la house girl.
Scavenger ni wakusaji uchafu, kunguru, crow ndio hao unamwona mwewe alivyo smart hachukui uchafu.
 
Dime,
Hao ni wale wanaume wachafu wasiojithamini utatakaje dudu la house girl.
Scavenger ni wakusaji uchafu, kunguru, crow ndio hao unamwona mwewe alivyo smart hachukui uchafu.
Ni vizuri mke kaondoka zake anaonekana ana matatizo si bure
 
Akili za wanawake dhahiri shahiri ktk uzi huu...

WIVU TUHH
 
Akiondoka nae huyo Bado anakupenda na Anna wivu na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…