Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Unavyonichukuliaga sio kabisaaaa 😀it seems like you are no longer damned!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavyonichukuliaga sio kabisaaaa 😀it seems like you are no longer damned!
Hapo kuna mambo mawili.Habari wakuu mimi mgeni kidogo hapa kuhusiana na hili suala je ni lazima wife kuondoka na house girl pale inapotokea mmegombana?
ni wivu tuuHousegirl ni msaidizi wake siyo wako!
Na uzi kafungua![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aaaah... Eti unalalamika kabisa
Unahitaji ushauri ila hahahahahaha kicheko kinakuja, kamwe hawezi kukuachia na wala sio busara kufanya hivyo, hata akimuacha inabidi umrudishe kwao maana italeta tafsiri nyingineHabari wakuu mimi mgeni kidogo hapa kuhusiana na hili suala je ni lazima wife kuondoka na house girl pale inapotokea mmegombana?
Dime,😀😀 ulitaka akuachie
Ni vizuri mke kaondoka zake anaonekana ana matatizo si bureDime,
Hao ni wale wanaume wachafu wasiojithamini utatakaje dudu la house girl.
Scavenger ni wakusaji uchafu, kunguru, crow ndio hao unamwona mwewe alivyo smart hachukui uchafu.
DM basi.Ni vizuri mke kaondoka zake anaonekana ana matatizo si bure
Anza weweDM basi.
Hahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unasema kuondoka na house girl! Akina mama wengine hawasafiri mpaka binti wa kazi awe period.[emoji5][emoji5][emoji5]
Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃
[emoji23][emoji23] sidhani kama hii ni sababuNisingemuacha. Mama ni mlezi wa watoto na house girl ni mmoja wa watoto, akiharibikiwa nitalaumiwa mimi.
Sababu ni nini?