1) Unataka kuniambia ulikoenda akili ikikukaa sawa ukaamua kuomba msamaha na kurudi ungependa ukute nyumba chafu?Sasa nimeondoka suala la usafi wa nyumba unanihusu nini
Khaa sa aibu inatoka wapi mchepuko kunisema? Kama angekuwa smart si angeshaolewa yeye1) Unataka kuniambia ulikoenda akili ikikukaa sawa ukaamua kuomba msamaha na kurudi ungependa ukute nyumba chafu?
2) Imagine mumeo akileta mchepuko wakiona nyumba ilivyo chafu watakavyokusema vibaya. Huoni aibu?
3) Na pia kwa sababu housegirl alikuwa msaidizi wa nyumba hii na si yenu unakoenda. basi ni vyema aachwe kituo chake cha kazi..
Kwa kweli hapo umeshinda... Ila ikitokea umeondoka muache house girl akusaidie kazi. Maisha kusaidianaKhaa sa aibu inatoka wapi mchepuko kunisema? Kama angekuwa smart si angeshaolewa yeye