PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,997
- 2,010
1) Unataka kuniambia ulikoenda akili ikikukaa sawa ukaamua kuomba msamaha na kurudi ungependa ukute nyumba chafu?Sasa nimeondoka suala la usafi wa nyumba unanihusu nini
2) Imagine mumeo akileta mchepuko wakiona nyumba ilivyo chafu watakavyokusema vibaya. Huoni aibu?
3) Na pia kwa sababu housegirl alikuwa msaidizi wa nyumba hii na si yenu unakoenda. basi ni vyema aachwe kituo chake cha kazi..