Kugugu ndio nini?

Kugugu ndio nini?

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Natafuta video fupi ya Mheshimiwa Mkuu wa mkoa wa Dar ambayo alitimia neno hilo ambalo mpaka Sasa sijajua alimaanisha nini ili niitumie kuwauliza wajuzi wa lugha Mheshimiwa alimaanisha nini?
 
Kupanda na kung'oa magugu shambani
🌵🌳🌴🌲🌱🌿🍀🍇🍃
 
Natafuta video fupi ya Mheshimiwa Mkuu wa mkoa wa Dar ambayo alitimia neno hilo ambalo mpaka Sasa sijajua alimaanisha nini ili niitumie kuwauliza wajuzi wa lugha Mheshimiwa alimaanisha nini?

na wewe 'alitimia' maana yake nini?

kuchemka kwenye lugha kupo kama ambavyo imekutokea nawe hapo...
 
Hahaaa...kuwasikiliza wana-CCM raha sana, kwa muda unasahau maovu wanayotutendea.
 
CCM inatoaga wapi hawa watu wa hovyo?
Akili timamu wanazo, wakishalamba teuzi kinachofuta-kuandikwa magazetini, kuitwa mheshimiwa, kuwa ndani ya v8, mshara-posho-rushwa akili zinawaruka kabisa, inaitwa "elected mental disorder"
 
Natafuta video fupi ya Mheshimiwa Mkuu wa mkoa wa Dar ambayo alitimia neno hilo ambalo mpaka Sasa sijajua alimaanisha nini ili niitumie kuwauliza wajuzi wa lugha Mheshimiwa alimaanisha nini?
Sikuisikia hiyo clip, je hakumaanisha Google, ya kutafuta taarifa mtandaoni?
 
Back
Top Bottom