Kuhack password ya wi-fi

Kuhack password ya wi-fi

Ebu elekeza vzur hio mana naona ma linux ma termux ma wifite
Mkuu linux ni OS kama ilivyo windows.
So hicho ki program kinaweza kuwa installed kwenye linux kwenye windows hakuna version yake.
Na linux si unajua vitu vyake vingi ni terminal so watakupa na command za ku execute kwenye terminal
 
Hata uwe hacker mwenye degree gani huwezi kuhack wifi bila kuwa na Router , nilipoteza sana mda kujaribu njia zote hizo.

afu naombeni msaada KIDOGO, hapa jinsi ya kureset Linux yangu, nimesahau password tangu niinstall kwenye simu, inazingua
Screenshot_20231004-123641.png
 
kuna hizi modem za airtel inashida ya mtu kuisahau nywila yake, hivi zinafaa kureset upya?,ikumbuke kwa nyuma pale pakuwekwa sim card pamefutwa
1696503915067.png
hivyo kuona wifi key yake ni ngumu
 
Back
Top Bottom