JaidenG
JF-Expert Member
- Oct 4, 2021
- 740
- 969
Ebu elekeza vzur hio mana naona ma linux ma termux ma wifite inatumikakweny simu au pc na ain gan android au ios na hilo app liko wap
Nani kakwambia mimi mwanafunzi wa IT?
Mimi ni just normal user niliyepata tobo.
We kwani umetengeneza nini mkuu?