Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
sudo apt install wifiteHow to install wiflite in termux? Android...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sudo apt install wifiteHow to install wiflite in termux? Android...
sudo apt install wifitesudo apt install wifite
samahani mkuu hujaroot simu, hapo huchomoi, hauna PC.sudo apt install wifite
No superuser binary detected.
Are you rooted?
What next?
Kumbe hadi rooted devices? Ngoma nzitosamahani mkuu hujaroot simu, hapo huchomoi, hauna PC.
Ok sasa jaribu kucheck kama python imeingia na iko sawa run command hii
Hapana si kweli Termux enviroment ina run kama Linuxsamahani mkuu hujaroot simu, hapo huchomoi, hauna PC.
Hapna sio kweliKumbe hadi rooted devices? Ngoma nzito
Hapana si kweli Termux enviroment ina run kama Linux
Mkuu acha kutisha watu hii sio Cmd ya termux hii ni cmd ya linux na hiyo anayofanya ni Termuxsudo apt install wifite
Umekosea cmd (commands) kila System na comands yake huwezi ukarun sudo commands kwenye termux mkuu hii inakuwa run kwenye linux basedView attachment 2774146
Toa maelekezo hapo mkuu.
Ipo siku nitaanzisha uzi kuhusu hili swala wengi wanafananisha commands za linux na commands zaView attachment 2774146
Toa maelekezo hapo mkuu.
Umekosea cmd (commands) kila System na comands yake huwezi ukarun sudo commands kwenye termux mkuu hii inakuwa run kwenye linux based
Unajua kwanini imegoma au bado
Naunga mkono hoja 👍👏Hizo app zinazofanya ili upate password zinakomba password zako zote, ina maana mnakua kama mna share password, ukipata ya wenzako na ya kwako inachukuliwa.
case ya kwanza ya permanently disabled najua, so nipe alternative kama ipo.Unajua kwanini imegoma au bado
Mkuu hivi kipindi unascan hizo wifi, PC yako ilikua na external wifi adapter.....!?Wanasema kizuri kula na nduguyo.
Nimehamia mtaa fulani hivi wa raia wamejifungia kwenye mageti yao.
Sasa huku fibre hakuna ila raia wamefunga superkasi.
Katika kuhangaika nikapata tool moja inaitwa wifite.
Aisee haka kadude ukiscan kanakuletea wifi zote zinazopatikana na password zake ndani ya muda mfupi.
Kuna wifi moja hapa ina kasi kuanzia mb 8 nna wiki naitumia.
Wakuu jaribuni wifite, ila inafanya kazi kwenye linux tu na kwa commands tu.
Nadhani gt ina run well. Kama picha inavyo onesha hapa chiniOk sasa jaribu kucheck kama python imeingia na iko sawa run command hii
python
Sasa kinachofuata run commands ifuatayo...kwa sababu repository nyingi tutazitoa GitHub so inabdi uinstall Git
So run commands hii
pkg install git
Na ili uhakikishe kama kweli imeinstall kwwli run cmd ..
git --version
Ukimaliza Run cmd hii..
git clone https://github.com/Gameye98/wifite
Then change directory by Cmd moja..
cd wifite
then run hii cmd kuinstall the wifite..
python setup.py install
then baadaye irun hiyo wifite
python wifite.py
hii ndo njia ya kwanza kabisa so ikikubali niambie ikigoma tunaenda second way inaitwa ....Yay reppository
Hiyo ni commands mzee iandike kama ilivyo hahah hiyo ndo itaenda kufanya clonning ya wifiteNadhani gt ina run well. Kama picha inavyo onesha hapa chini
View attachment 2774152
Sasa tuhamie hapo kwenye gt clone na run hiyo command pamoja na hiyo website?
Nimeiweka nimeishia hapo then what next?Hiyo ni commands mzee iandike kama ilivyo hahah hiyo ndo itaenda kufanya clonning ya wifite
mpangilio wa Jinsi ya kuinstall wifite lazima kwanza uwe umeinstall python angalau version 2 ...python2 au 3 unayo?case ya kwanza ya permanently disabled najua, so nipe alternative kama ipo.