rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
Tatizo la Wanafunzi wa IT wa kibongo wengi wenu ni majuha,mazwazwa,matahira,mazumbukuku na malimbukeni,wewe unaenda kusoma chuo IT unatoka huko unakuja kuiba password kwa ajili ya Mbs na Gbs ili uingie kusoma umbea wa Mange Kimambi Instagram na Kuwochi Music za kina Mondi,hivi huwa mnaakili timamu kweli?
Wenzio wanaanzisha APPS za kutatua Changamoto kwenye Jamii wanapiga pesa wewe kazi kuwaibia wadogo zako password za Wi-Fi!.
Aiseeeee!