waliohamia huko wajue tu watatumika kama vikaragosi vya dola
hiyo mifano ya utawala wa military junta (Id Amin) na one party socialist system (Nicolae Ceaușescu) haifanani na siasa za leo hata kidogo,Kila chenye mwanzo kina mwisho. Kuna tawala nyingi duniani ambazo zilikuwa na nguvu kubwa lakini ziliangushwa.
Utawala unaotegemea nguvu ya polisi na jeshi mara nyingi huanguka kwa sababu ya kupoteza uaminifu wa vikosi hivyo (Mgawanyiko), vuguvugu la umma, na shinikizo la kimataifa. Hii baadhi ya mifano ya hivi karibuni (Karne ya 20):
1. Utawala wa Idi Amin (Uganda)
•Muda wa Utawala: 1971-1979.
•Mbinu za Utawala:
o Idi Amin alitegemea vikosi vya jeshi na polisi kubaki madarakani, akiwatishia wapinzani wake na kutumia ukatili dhidi ya raia.
o Alifukuza wapinzani wake wa kisiasa na kuanzisha hali ya hofu kupitia mauaji ya watu zaidi ya 300,000.
•Sababu za Kuanguka:
o Vita vya Ndani na Mipaka: Alianzisha vita dhidi ya Tanzania mwaka 1978, lakini alishindwa vibaya.
o Kuasi kwa Jeshi: Jeshi lake lilianza kupoteza uaminifu kwake, na vita vilivyopiganwa na majeshi ya Tanzania vikachangia kuondolewa kwake madarakani.
•Matokeo: Amin alikimbilia uhamishoni nchini Saud
2.Utawala wa Nicolae Ceaușescu (Romania)
•Muda wa Utawala: 1965-1989.
•Mbinu za Utawala:
o Ceaușescu alitegemea polisi wa siri maarufu kama Securitate, mojawapo ya vikosi vya polisi wa siri vilivyokuwa na nguvu zaidi duniani. Vikosi hivi vilitumia mbinu za ujasusi, ukandamizaji, na hofu kudhibiti upinzani, uhuru wa habari na kujieleza.
o Jeshi lilitumika kuzima maandamano ya umma, na hofu ilikuwa silaha kuu ya kulinda utawala wake.
•Sababu za Kuanguka:
o Uchumi Mbaya: Nchi ilikumbwa na hali mbaya ya kiuchumi, njaa, na ukosefu wa huduma za msingi kutokana na sera zake za kifedha na viwanda.
o Vuguvugu la Umma: Maandamano ya umma dhidi ya ukandamizaji na hali duni ya maisha yalianza mjini Timișoara mnamo Desemba 1989.
o Jeshi Kugawanyika: Wakati maandamano yalipozidi, sehemu kubwa ya jeshi ilikataa kuwashambulia waandamanaji na badala yake ikajiunga na wananchi.
•Matokeo: Mnamo Desemba 25, 1989, Ceaușescu na mke wake Elena walikamatwa, kuhukumiwa haraka, na kuuawa kwa kupigwa risasi.
3.Utawala wa Augusto Pinochet (Chile)
•Muda wa Utawala: 1973-1990.
•Mbinu za Utawala:
o Pinochet alitumia jeshi na polisi kwa ukandamizaji wa wapinzani wa kisiasa kupitia mauaji, ukamataji, na mateso.
o Alifuta taasisi za kidemokrasia na kudhibiti vyombo vya habari.
•Sababu za Kuanguka:
o Shinikizo la Ndani na Nje: Nchi nyingi zikiwemo, Sweden, Norway, uholanzi, uhispania, na Nchi nyingi za Amerca kusini zilipinga utawala wake na kuweka shinikizo kubwa. Wananchi walipiga kura ya maoni mwaka 1988, ambapo wengi walikataa kuendelea na utawala wake.
o Jeshi na Polisi Kukosa Uungwaji Mkono: Jeshi la polisi liligawanyika Wananchi wa kapata nguvu ya kushinikiza demokrasia kwa maandamano makubwa, ilimlazimu Pinochet kuruhusu mabadiliko ya kisiasa.
•Matokeo: Aliondoka madarakani mwaka 1990 na demokrasia kurejeshwa
Umakini wa CHADEMA ni rasilimali watu, sio jina. Watu hao hao wakihamia CHAUMMA, basi CHAUMMA itakuwa na umakini ule ule kama wa CHADEMACCM haiwezi kuruhusu CHAMA MAKINI kama CHADEMA kichukue nchi kirahisi kwahiyo CHAUMMA waliohamia huko wajue tu watatumika kama vikaragosi vya dola ila hawataachiwa wakue kufikia level ya CHADEMA hivyo wajue tu wameenda CHAUMMA kufanya usaliti na maigizo kwa taifa.
Mkuu watu wanatafuta pesa madaraka ni njia tu.CCM haiwezi kuruhusu CHAMA MAKINI kama CHADEMA kichukue nchi kirahisi kwahiyo CHAUMMA waliohamia huko wajue tu watatumika kama vikaragosi vya dola ila hawataachiwa wakue kufikia level ya CHADEMA hivyo wajue tu wameenda CHAUMMA kufanya usaliti na maigizo kwa taifa.
Lakin hakuna mtu aliyeajiriwa kuwa mpinzan. Ukiacha kulaum watu utafanya weweCCM haiwezi kuruhusu CHAMA MAKINI kama CHADEMA kichukue nchi kirahisi kwahiyo CHAUMMA waliohamia huko wajue tu watatumika kama vikaragosi vya dola ila hawataachiwa wakue kufikia level ya CHADEMA hivyo wajue tu wameenda CHAUMMA kufanya usaliti na maigizo kwa taifa.
kukombolewa toka kwa nani?Hii nchi haiwezi kuja kombolewa.
99% ya wanasiasa wanaingia kwenye siasa kwa ajili ya kipato, lazima wawe wanasiasa malaya malaya.
Wananchi tupo kama mazomwe zomwe vile.
Wazee wa mabaka mabaka na mgwanda ya kaki nao wanatumika kisiasa.
Hatuwezi kufika.
walio hamia CHAUMA ni Condom tupu na maji maji yake- Period- Sahamani kwa lugha hiyo.CCM haiwezi kuruhusu CHAMA MAKINI kama CHADEMA kichukue nchi kirahisi kwahiyo CHAUMMA waliohamia huko wajue tu watatumika kama vikaragosi vya dola ila hawataachiwa wakue kufikia level ya CHADEMA hivyo wajue tu wameenda CHAUMMA kufanya usaliti na maigizo kwa taifa.
Chaumma ni kama ngao ya cxm kwa sasaCCM haiwezi kuruhusu CHAMA MAKINI kama CHADEMA kichukue nchi kirahisi kwahiyo CHAUMMA waliohamia huko wajue tu watatumika kama vikaragosi vya dola ila hawataachiwa wakue kufikia level ya CHADEMA hivyo wajue tu wameenda CHAUMMA kufanya usaliti na maigizo kwa taifa.
Wale ni CCM, CCM imewapaki hapo kwa muda, CHAUMA ni stand wapo safarini kuelekea CCMCCM haiwezi kuruhusu CHAMA MAKINI kama CHADEMA kichukue nchi kirahisi kwahiyo CHAUMMA waliohamia huko wajue tu watatumika kama vikaragosi vya dola ila hawataachiwa wakue kufikia level ya CHADEMA hivyo wajue tu wameenda CHAUMMA kufanya usaliti na maigizo kwa taifa.
Naunga mkono hoja. Chaumma ni mpango wa CCM kujaribu kudhoofisha upinzani wa kweli nchini.Chauma inatumika kama walivyotumika Covid 19 kuihadaa dunia kuwa kuna demokrasia nchini na kuficha uharamia wa CCM katika uchaguzi.
Reforms mbona wala sio swala la msingi..yaani unamshauri au kuomba CCM ifanye reforms ili wewe ushinde uchaguzi? Ili ni tatizo kubwa sana.. bora tungeshiriki ili tupate wabunge wa kusukuma hoja yetu hii tofauti na hapo tumeingia chakaMsome Tena mtoa mada.. utapita wapi? CCM inamiliki kila kitu, kuanzia majeshi, bunduki, pesa za nchi, wafanyakazi, tume ya Uchaguzi na mfumo wake, mahakama.
Ndiyo maana wenzetu wanataka Reforms!
Sio wanasiasa tu, hata wananchi, Ukombozi wanaouamini ni wa mtu mmoja mmoja kivyake vyake sio wa kisiasa kupitia kundi la wanasiasa au wa kiharakati.Hii nchi haiwezi kuja kombolewa.
99% ya wanasiasa wanaingia kwenye siasa kwa ajili ya kipato, lazima wawe wanasiasa malaya malaya.
Wananchi tupo kama mazomwe zomwe vile.
Wazee wa mabaka mabaka na mgwanda ya kaki nao wanatumika kisiasa.
Hatuwezi kufika.
..na waliobakia CDM? kwani kuwa mwanachama wa CDM ni mkataba wa maisha?walio hamia CHAUMA ni Condom tupu na maji maji yake- Period- Sahamani kwa lugha hiyo.
Hapa nimekubali uchambuzi wako ni uhalisia ila hapa kwetu tinayosafari ndefu sana.Kila chenye mwanzo kina mwisho. Kuna tawala nyingi duniani ambazo zilikuwa na nguvu kubwa lakini ziliangushwa.
Utawala unaotegemea nguvu ya polisi na jeshi mara nyingi huanguka kwa sababu ya kupoteza uaminifu wa vikosi hivyo (Mgawanyiko), vuguvugu la umma, na shinikizo la kimataifa. Hii baadhi ya mifano ya hivi karibuni (Karne ya 20):
1. Utawala wa Idi Amin (Uganda)
•Muda wa Utawala: 1971-1979.
•Mbinu za Utawala:
o Idi Amin alitegemea vikosi vya jeshi na polisi kubaki madarakani, akiwatishia wapinzani wake na kutumia ukatili dhidi ya raia.
o Alifukuza wapinzani wake wa kisiasa na kuanzisha hali ya hofu kupitia mauaji ya watu zaidi ya 300,000.
•Sababu za Kuanguka:
o Vita vya Ndani na Mipaka: Alianzisha vita dhidi ya Tanzania mwaka 1978, lakini alishindwa vibaya.
o Kuasi kwa Jeshi: Jeshi lake lilianza kupoteza uaminifu kwake, na vita vilivyopiganwa na majeshi ya Tanzania vikachangia kuondolewa kwake madarakani.
•Matokeo: Amin alikimbilia uhamishoni nchini Saud
2.Utawala wa Nicolae Ceaușescu (Romania)
•Muda wa Utawala: 1965-1989.
•Mbinu za Utawala:
o Ceaușescu alitegemea polisi wa siri maarufu kama Securitate, mojawapo ya vikosi vya polisi wa siri vilivyokuwa na nguvu zaidi duniani. Vikosi hivi vilitumia mbinu za ujasusi, ukandamizaji, na hofu kudhibiti upinzani, uhuru wa habari na kujieleza.
o Jeshi lilitumika kuzima maandamano ya umma, na hofu ilikuwa silaha kuu ya kulinda utawala wake.
•Sababu za Kuanguka:
o Uchumi Mbaya: Nchi ilikumbwa na hali mbaya ya kiuchumi, njaa, na ukosefu wa huduma za msingi kutokana na sera zake za kifedha na viwanda.
o Vuguvugu la Umma: Maandamano ya umma dhidi ya ukandamizaji na hali duni ya maisha yalianza mjini Timișoara mnamo Desemba 1989.
o Jeshi Kugawanyika: Wakati maandamano yalipozidi, sehemu kubwa ya jeshi ilikataa kuwashambulia waandamanaji na badala yake ikajiunga na wananchi.
•Matokeo: Mnamo Desemba 25, 1989, Ceaușescu na mke wake Elena walikamatwa, kuhukumiwa haraka, na kuuawa kwa kupigwa risasi.
3.Utawala wa Augusto Pinochet (Chile)
•Muda wa Utawala: 1973-1990.
•Mbinu za Utawala:
o Pinochet alitumia jeshi na polisi kwa ukandamizaji wa wapinzani wa kisiasa kupitia mauaji, ukamataji, na mateso.
o Alifuta taasisi za kidemokrasia na kudhibiti vyombo vya habari.
•Sababu za Kuanguka:
o Shinikizo la Ndani na Nje: Nchi nyingi zikiwemo, Sweden, Norway, uholanzi, uhispania, na Nchi nyingi za Amerca kusini zilipinga utawala wake na kuweka shinikizo kubwa. Wananchi walipiga kura ya maoni mwaka 1988, ambapo wengi walikataa kuendelea na utawala wake.
o Jeshi na Polisi Kukosa Uungwaji Mkono: Jeshi la polisi liligawanyika Wananchi wa kapata nguvu ya kushinikiza demokrasia kwa maandamano makubwa, ilimlazimu Pinochet kuruhusu mabadiliko ya kisiasa.
•Matokeo: Aliondoka madarakani mwaka 1990 na demokrasia kurejeshwa
CCM hawataki civil unrest wanataka civil obedience, wao wanataka umma/wananchi wawe makondoo, wanaseama UTII BILA SHURUTI.Tusiporuhusu siasa safi tutakaribisha civil unrest nadhani ndio kitu ccm wanataka.