Kuhamishwa kituo cha kazi na kuachishwa kazi

Wadao naomba kusaidiwa nimekua na mgogoro wa kazi na mwajiri wangu .kwasasa tupo CMA mwajiri anasema kituo chankazi Tanzania wakati barua ya tangazo la kazi ni mtwara port .na hivyo ili kukubari ajirabilikua lazima niisaini kukubaliana kabla ya mkataba.
Sasa baada ya kwenda cma alisema nimeajiriwa mtwara baada ya kuona kesi imeenda mbele anasema nimekuajiri tanzania
Msaada kabla ya kwenda mahakamani jumatatu
Pia je kama mwajiri amekuajiri anamamlaka ya kukuhamisha na kukufukuza kazi kisa mkataba umesema tz
aise utakua umepanic mdau kwa jinsi ulivyowasilisha bandiko lako hapa ila Mungu akutangulie aise.
 
Wadao naomba kusaidiwa nimekua na mgogoro wa kazi na mwajiri wangu .kwasasa tupo CMA mwajiri anasema kituo chankazi Tanzania wakati barua ya tangazo la kazi ni mtwara port .na hivyo ili kukubari ajirabilikua lazima niisaini kukubaliana kabla ya mkataba.
Sasa baada ya kwenda cma alisema nimeajiriwa mtwara baada ya kuona kesi imeenda mbele anasema nimekuajiri tanzania
Msaada kabla ya kwenda mahakamani jumatatu
Pia je kama mwajiri amekuajiri anamamlaka ya kukuhamisha na kukufukuza kazi kisa mkataba umesema tz
Usichoshe watu na mada hazina kichwa wala miguu na wana JF wanakuuliza maswali then wapate kujua zaidi ili Ku kusaidia bado una wajibu shit.

Huna shida ila unataka tu kuchosha watu na mada fake.
 
Asante nipe mwanga haijarishi nimekosea lakini content imeeleweka kinachotakiwa namna ya kudefend hiyo hoja
Andika upya maelezo yako hayaeleweki typing error nk ndika upya tafadhari
 
Kwa nilivyoelewe mwajiri anajaribu kukwepa kusema uliajiriwa Mtwara anasema Tanzania. Sasa ulivyoandika hujafafanua mna mgogoro gani. Hata hivyo kama alikuajiri Tanzania lazima itamkwe ni sehemu gani ya Tanzania. Sisi wote tumeajiriwa Tanzania, wengine Mtwara, Iringa Dar nk. Mkataba wako unataja wapi? Kama hautaji andaa vielelezo kuonyesha kituo chako cha kwanza kilikuwa Mtwara yeye mwajiri akathibutishe vinginevyo. Kusema Tanzania ni too General, haikubaliki. Labda kama wewe umetoka Nje ya nchi.
 
Asante kwa maelezo yako nimepata concept kubwa ya kuweka sahihi namna yankuielezea .
 
Wadau naomba kusaidiwa nimekua na mgogoro wa kazi na mwajiri wangu kuniachisha kazi baada ya kunihamisha kituo bila kufuata taratibu.
kwasasa tupo CMA mwajiri katika mgogoro wa kazi anasema kituo changu cha kazi Tanzania.
wakati barua ya tangazo la kazi ni tanga port .
Na hata makubaliano yetu ni kua kabla ya mkataba natakiwa nikubali kusain barua ya tangazo la ajira.baada ya miezi mitano kutumikia probation alinipa mkataba wa kudumu ukuonesha sehem ya kazi tanzania badala ya kituo cha kazi husika.
Sasa baada ya kwenda cma kwenye usuluhisho alisema nimeajiriwa mtwara baada ya kuona kesi imeenda mbele kwa maamuzi anasema nimekuajiri tanzania hivyo anamamlaka yakunipeleka popote huku mkataba ukiwa hausemi hivyo.
Msaada kabla ya kwenda mahakamani .
je kama mwajiri amekuajiri anamamlaka ya kukuhamisha bila barua na baada ya mda kukuachisha kazi kazi kisa mkataba umesema tz
Huwezi kuajiriwa tanzania.lzma upate barua ya kituo cha kazi..utaratibu wa barua kama hzo haupo.anafanya uhuni..mpeleke mahakamani akaieleze mahakama maama ya kumuajiri mtu Tanzania ni nn ?
 
Nchii hii bwana ukiomba msaada wanangalia herufi badala ya kusaidia .asante mliotoa maoni yenu kwa ajili ya kupata hoja za kudefend
 
Wewe uliyeandika huwezi ku judge unilaterally kuwa content imeeleweka.
 
mkuu andika vizuri bt kwa haraka tu nikuambie kama ulikubali kusaini mkataba wa kufanya kazi Tanzania na ulikuwa unafahamu na ulishaanza kufanya kazi ujue iyo kuwa ata ukienda mahakani hauna chako utaambulia kufukuzwa kazi tu na bila kupewa ata senti tano
 
Sawa
 
huyu jamaa kaeleweka sema nyie hamtaki kumuelewa. na km ninyi ni wanasheria au wanafunzi wa sheria hiki ndicho kipimo kikubwa cha kumuelewa mteja wenu. siyo wateja wako wote watakuwa na uwezo wa kueleweka bali unapaswa kumjengea uwezo wa kueleweka. Mm kama mtu wa kawaida nimemuelewa kuwa mkataba wake unasema sehemu ya kazi Tanzania, kituo cha kazi mtwara port, maelezo ya mwajili inaonyesha mkataba unasema mfanyakazi atakoma ajira yake ikiwa kazi itaisha katika kituo chake chakazi. sasa yeye kahamishwa kituo chake cha kazi alichopangwa awali na kupelekwa kituo kingine alipofika kituo kipya akapewa barua ya kuachishwa kazi. swali lake ni kuwa mwajili ameegemea kwenye terms za mkataba inayosema kazi ikiisha ktk kituo chako na ajira itakoma. lakini swali ambalo nyie mnapaswa kujiuliza ni kuwa je kitendo cha kupewa barua ni kiashirio cha kufukzwa kazi mujibu wa sheria? km ndy, je njia iliyotumika nisahihi kisheria? ,km siyo anastahili haki gani. lawyers workup
 
Jaribu kupitia maandiko yako hayo kama wewe mwenyewe utayaelewa.
Ni kweli haeleweki. Ila naona mgogoro umeanzia baada ya kuhamishwa kwa kutumia kauli za mdomoni na hakupewa barua ya uhamisho.
 
Wadau naomba kusaidiwa nimekua na mgogoro wa kazi na mwajiri wangu kuniachisha kazi baada ya kunihamisha kituo bila kufuata taratibu.
kwasasa tupo CMA mwajiri katika mgogoro wa kazi anasema kituo changu cha kazi Tanzania.
wakati barua ya tangazo la kazi ni tanga port .
Na hata makubaliano yetu ni kua kabla ya mkataba natakiwa nikubali kusain barua ya tangazo la ajira.baada ya miezi mitano kutumikia probation alinipa mkataba wa kudumu ukuonesha sehem ya kazi tanzania badala ya kituo cha kazi husika.
Sasa baada ya kwenda cma kwenye usuluhisho alisema nimeajiriwa mtwara baada ya kuona kesi imeenda mbele kwa maamuzi anasema nimekuajiri tanzania hivyo anamamlaka yakunipeleka popote huku mkataba ukiwa hausemi hivyo.
Msaada kabla ya kwenda mahakamani .
je kama mwajiri amekuajiri anamamlaka ya kukuhamisha bila barua na baada ya mda kukuachisha kazi kazi kisa mkataba umesema tz
 
Ushauri: kama mazingira ya mgogoro nitakuwa miyaelewa vizuri, mwajili amekatisha ajira yako ambao ni sahihi kwa mujibu shetia ya kazi na mahusuano kazini. wew hupaswi kung`ang`ania kuwa amekuonea kukufukuza kazi, yey ndy boss. lakini sasa amefuata utaratibu wa kukufukuza kazi kwa mijibu wa sheria? mwajili anatakiwa awe. na sababu za kukufukuza kazi na ooa afuate utaratibu uliowrkwa kisheria namna ya kumfukuza kazi mfanyakazi ambazo ni za kisheria. hivyo hakikisha wewe unang`ang`ania njia aliyotumia haikuwa halali. ili njia iwe halali pamoja na mambo mengine mwajoli anapaswa
1. kufanya upelelezi wa sababu ya kukufukuza kazi
2. Akupe notisi
3. akuandikie makosa yako (charges) anayokutumu na kukupa nafac ya kuyajibu kwa maandishi na nilazima akutahadhalishe kuwa kushindwa kutoa utetezi kutakupelekea kuchukuliwa hatua akiwa ni pamoja na kufukuzwa kazi
4.Akupe haki ya kuwakilishwa. mwakilishi aweza kuwa
1. mfanyakazi mwenzako anaye wakilisha chama cha wafanyakazi au
2.wakili
3. mtu mwingine yeyote unayeona anakufaa (kwa mujibu wa Misc amendment ya 2006)
 
Asante kaka hata hivyo nimeenda kama ulivyo nimepata nafasi ya kupitia sheria ya kazi na kupata sehem gani ya kusikiliza.
 
Wadau naomba kusaidiwa nimekua na mgogoro wa kazi na mwajiri wangu kuniachisha kazi baada ya kunihamisha kituo bila kufuata taratibu.
kwasasa tupo CMA mwajiri katika mgogoro wa kazi anasema kituo changu cha kazi Tanzania.
wakati barua ya tangazo la kazi ni tanga port .
Na hata makubaliano yetu ni kua kabla ya mkataba natakiwa nikubali kusain barua ya tangazo la ajira.baada ya miezi mitano kutumikia probation alinipa mkataba wa kudumu ukuonesha sehem ya kazi tanzania badala ya kituo cha kazi husika.
Sasa baada ya kwenda cma kwenye usuluhisho alisema nimeajiriwa mtwara baada ya kuona kesi imeenda mbele kwa maamuzi anasema nimekuajiri tanzania hivyo anamamlaka yakunipeleka popote huku mkataba ukiwa hausemi hivyo.
Msaada kabla ya kwenda mahakamani .
je kama mwajiri amekuajiri anamamlaka ya kukuhamisha bila barua na baada ya mda kukuachisha kazi kazi kisa mkataba umesema tz
Find MI whatsapp 0759323948
 
Back
Top Bottom