johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbege ya jana ni ndizi za Kiwangwa manka!Leo naona malipo ya jana kusogeza mabox hajatoka umeamka nao.
Unawaza ulevi tu weweMbege ya jana ni ndizi za Kiwangwa manka!
Hahahaaaa.......!Wakucheleweshee kdg uendelee kutema madini
Ngoja ulipwe tuone tenaHahahaaaa.......!
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Lumumba hazina haikauki malipo ni daily, karibu manka!Ngoja ulipwe tuone tena
Nimesimama upande wa haki bwashee.Kwani bwashee wewe umesimamia wapi kuhusu hawa wabunge pendwa kwa hisani ya green team??
Hivi Lumumba hakuna kustaafu maana wewe ni babu over 60?Lumumba hazina haikauki malipo ni daily, karibu manka!
Zamani enzi zile za Mwendazake.Lumumba hazina haikauki malipo ni daily, karibu manka!
Mafiga yalikuwa sita umemsahau mwenyekiti wa tume ya uchaguziUmesahau,yalikuwa mafiga 4, na mbona umemsahau Mwendazake?