Kuhamishwa kwa DPP ni pigo kubwa kwa Nusrat Henje na akina Halima Mdee

Ulinzi wa ubunge wa akina Halima James Mdee na wenzake ulisimama katika mafiga matatu ya "kimkakati" yaani Spika, AG na DPP tena kikujuana zaidi.

Figa moja binafsi limetenguliwa lakini litaletwa figa lingine kiofisi zaidi.

Siku zote utatu mtakavitu ukitibuliwa kinachofuatia ni majanga.

Bawacha walioko bungeni wajiandae kwa lolote, Nusrat Henje "alikuwa" kete muhimu ya wao kubaki bungeni.

Kazi Iendelee!
Chadema kwisha habari yenu, sasahivi mnatafunana wenyewe kwa wenyewe,akuna vita mbaya kama ya nyinyi kwa nyinyi Vita hiyo haiwezi kwisha, sasahivi kilichobaki ni kugawanya mbao,yetu macho 🙂🙂😃😃😃😀
 
Ulinzi wa ubunge wa akina Halima James Mdee na wenzake ulisimama katika mafiga matatu ya "kimkakati" yaani Spika, AG na DPP tena kikujuana zaidi.

Figa moja binafsi limetenguliwa lakini litaletwa figa lingine kiofisi zaidi.

Siku zote utatu mtakavitu ukitibuliwa kinachofuatia ni majanga.

Bawacha walioko bungeni wajiandae kwa lolote, Nusrat Henje "alikuwa" kete muhimu ya wao kubaki bungeni.

Kazi Iendelee!
Bwasheeeee vp tena mbona unanichanganya.
Kwani hao 19 bado ni bawacha? Siwanaitwa covid. Nimemnukuu mwana ccm machachari, mtiifu na mfia chama aitwaye Nape
 
Back
Top Bottom