johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Hahahaaaa....... mzee Mwinyi ana miaka 96 na juzi tumempa Benz brand new!Hivi Lumumba hakuna kustaafu maana wewe ni babu over 60?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa....... mzee Mwinyi ana miaka 96 na juzi tumempa Benz brand new!Hivi Lumumba hakuna kustaafu maana wewe ni babu over 60?
Wewe emepewa baiskel na kuhamishiwa Geita vijijiniHahahaaaa....... mzee Mwinyi ana miaka 96 na juzi tumempa Benz brand new!
Mafiga ni matatu tu ila kuna mpishi na msaidizi wakeMafiga yalikuwa sita umemsahau mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
Mzalendo nambari 'one'100% uko sahihi.. Hivi wanazuoni kisheria huyu" NUSRAT HAJE" waliomtoa Mahabusu tena usiku na kumbatiza ubunge na kumlinda ni nani...Fungueni Kesi tujifunze madudu haya yalifanyikaje chini ya utawala wa mzalendo wa Africa
Wale wachina bado wanasubiri jibu manka!Wewe emepewa baiskel na kuhamishiwa Geita vijijini
Chadema kwisha habari yenu, sasahivi mnatafunana wenyewe kwa wenyewe,akuna vita mbaya kama ya nyinyi kwa nyinyi Vita hiyo haiwezi kwisha, sasahivi kilichobaki ni kugawanya mbao,yetu macho 🙂🙂😃😃😃😀Ulinzi wa ubunge wa akina Halima James Mdee na wenzake ulisimama katika mafiga matatu ya "kimkakati" yaani Spika, AG na DPP tena kikujuana zaidi.
Figa moja binafsi limetenguliwa lakini litaletwa figa lingine kiofisi zaidi.
Siku zote utatu mtakavitu ukitibuliwa kinachofuatia ni majanga.
Bawacha walioko bungeni wajiandae kwa lolote, Nusrat Henje "alikuwa" kete muhimu ya wao kubaki bungeni.
Kazi Iendelee!
Tetetete Geita kuna wachina? utakoma wewe babuWale wachina bado wanasubiri jibu manka!
Huku migodi inacheuwa daily.Tetetete Geita kuna wachina? utakoma wewe babu
Kweli kabisa.Mafiga yalikuwa sita umemsahau mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
Sometimes husomeki umesimamia wap bwashee 🤣🤣Nimesimama upande wa haki bwashee.
Namuamini J J Mnyika kwa 51% katika swala hili.
Bwasheeeee vp tena mbona unanichanganya.Ulinzi wa ubunge wa akina Halima James Mdee na wenzake ulisimama katika mafiga matatu ya "kimkakati" yaani Spika, AG na DPP tena kikujuana zaidi.
Figa moja binafsi limetenguliwa lakini litaletwa figa lingine kiofisi zaidi.
Siku zote utatu mtakavitu ukitibuliwa kinachofuatia ni majanga.
Bawacha walioko bungeni wajiandae kwa lolote, Nusrat Henje "alikuwa" kete muhimu ya wao kubaki bungeni.
Kazi Iendelee!
Hao ni Bawacha hadi Baraza kuu litakaposikiliza rufani zao!Bwasheeeee vp tena mbona unanichanganya.
Kwani hao 19 bado ni bawacha? Siwanaitwa covid. Nimemnukuu mwana ccm machachari, mtiifu na mfia chama aitwaye Nape
Wakati sasa pamegeuka kuwa jangwa,wanaweza kuishi nyoka na mijusi wa jangwani tu na sui watu tena.Lumumba hazina haikauki malipo ni daily, karibu manka!