Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Siku zote wanawake mna mioyo myepesi sana! Ni wepesi wa kuamini! Ukiangalia wahudhuriaji wengi kwenye hiyo mikutano, lazima utakuta ni wanawake!

Hivyo endeleeni kupigwa. Maana hakuna namna.

Najiuliza wakati wanawake wanahudhuria hapo wanaume wanakuwaga wapi. Maana wanaume ndio kichwa cha familia
 
Mtumishi wa Mungu wa Kweli mfano Lwakare na Gwajima kujiunga na ccm tu basi nikajua hawa ni manabii wa uongo.
 
Kuna hoja mbili ambazo kwenye mada kama hii zinapaswa kujibiwa.
Mtu akianza mara nabii, mtume au kuhani, mwulize ni nani aliyempa hicho cheo;
Kwenye miujiza kumekuwa na usanii mwingi, mara utasikia kafufua mtu dar, Moro , Mwanza, etc, wakati inakuwa ni usanii mtupu kama ule wa Gajwima kusema anafufua wafu.
Kiongozi wa dini akisema ana uwezo wa kufufua wafu, watu wandaamane naye mpaka mortuary iliyo karibu wakamkabidhi mwili ili aufufue, akishindwa wahakikishe wanamfungia huko mortuary. Hizi tabia za "kufufua "watu hai inabidi zikome.
 
 
Huko ulaya na MAREKANI wezi kama kina Musa walikuwepo sana ni jambo la muda tu kiwango Cha elimu kikiwa kikubwa jamii itaondkana na haya maupuuzi

USSR

Msaada wako ni upi
 
Ndio nimeweka hapo washudiaji na uwenyeji wao na makazi yao ili tujue hayo maigizo yanafanyikaje

Bila proof ya unachokisema itazidi kuaminika na kubaki palepale kwamba miujiza inatendeka
Je kwa akili ya Kawaida unaweza ukasema haya yanayotokea hapa ni Trick au ni Kweli (ila sababu tunajua ni trick na inafanywa vipi tunaelewa) ila kwa asiyejua kwamba ni trick haibadilishi kwamba kinachotokea sio kweli....

Anyway Mind over Matter ukiamini sana kitu hata kama sio kweli kitakusaidia sababu ya nguvu ya IMANI hivyo mimi sina shida sana na hawa jamaa hata kama uongo wao unasaidia watu wanakuwa na Peace of Mind
 
Mama D!
Uzi wako huu umeandika kinazi sana, japo siamini kama ni mwandiko wako…. na kama ni wewe umeandika basi bila shaka ni mnufaika na uko hapa kumpigia chapuo huyo nabii uchwara.
 

Ninachoamini mimi awezae kufufua ni Yesu Kristo kupitia maombi ya watu wake. Mtumishi wa kweli na muamini wa kweli watamwomba Mungu na mambo yatatokea kwa ile nguvu ya Mungu iliyo ndani yao na sio kwa nguvu zao.

Sasa kwenye kuwa na hiyo nguvu ya Mungu ndio shughuli ya kutakatifuza
 
Mama D!
Uzi wako huu umeandika kinazi sana, japo siamini kama ni mwandiko wako…. na kama ni wewe umeandika basi bila shaka ni mnufaika na uko hapa kumpigia chapuo huyo nabii uchwara.


Ncha Kali nimeandika yaliyomo tuyajadili pamoja. Kama ni nabii uchwara tuuweke huo uchwara waziwazi basi
 


Kama ni trick tuwafichue hapa basi ili mambo yajulikane
 
Kama ni trick tuwafichue hapa basi ili mambo yajulikane
Not knowing how the trick is done does not mean its not a trick (so long as it defies logic there is a good chance its a trick)

Nimekupa mfano hapo mtu anapiga filimbi kamba inapanda yenyewe alafu anaweza kuipanda hio kamba (bila kujua inavyofanywa lazima uamini kwamba ni ukweli wakati sio kweli)

Tukija kwenye imani unaweza ukapewa sukari kwamba ni pain killer na kweli maumivu yakaisha (mind over matter) ila does not mean kwamba sugar ni pain killer
 

Niliwahi kukisia uwezo wako kiakili ila sikuhitimisha kuwa ni mdogo namna hii, tangu dunia ianze [ukiacha ile stori ya Yesu]…. ulisikia wapi wafu kufufuka katika maisha halisi?
 


Natamani sana tuthubitishe ni trick kwa umma wa watanzania ndio maana nimeambatanisha video na maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…