mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
- Thread starter
- #521
sindano gani sasa, hivi unafikiri wanatusumbua hawa? mbona tunawajua, yaani pepo anisumbue? wafuasi wake ninyhi ndio misukule mtakuja kufa kama alivyoua watu wake Mackenzie kule kenya. huyo jamaa ni nabii wa uongo, plus mwamposa, plus elisha mumewe chibalonza, plus peter nyaga. nyoote mnasubiri moto wa milele pamoja na shetani, ama la muokoke na muache utapeli.
Sindano imepenyaaa💊💉💉💊💊💊💉💉