Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi inaendelea
Kuhani Musa Richard Mwacha katika matukio ya kitaifa
Uzinduzi wa ikulu mpya Dodoma
Mungu ibariki Tanzania
Kazi inaendelea
Kuhani Musa Richard Mwacha katika matukio ya kitaifa
Uzinduzi wa ikulu mpya Dodoma
Mungu ibariki Tanzania
Kwanini unasema Kuhani Mchawi?huyu mchawi na nabii wa uongo moto wake utakuwa mkubwa sana. ndugu zangu kuweni makini sana na hawa manabii.
najua kuzipima roho, na kuhani wenu ni zao la nabii wa uongo aliyefukuziwa congo, ni pandikizi la shetani kabisa kabisa. kuna siku mtakuja kustuka ila mtakuwa mmeshachelewa. mtafuteni Mungu wa kweli, hao mnaowatafuta wamepandikizwa na shetani ili mpotezee muda hapo msimwone Mungu hadi mtakapochukuliwa maisha yenu mwenda motoni bila hata kuokoka kwa kweli. Mungu awasaidie.Kwanini unasema Kuhani Mchawi?
Unajua kuzipima Roho au unasema tu bila kudhibitisha?
Kuhani ni mtumishi wa Mungu...
Tena wa Kweli..
Wanaongozwa na Roho wa Mungu hao ndio wana wa Mungu
Sio kweli, hizo ni story tu...najua kuzipima roho, na kuhani wenu ni zao la nabii wa uongo aliyefukuziwa congo, ni pandikizi la shetani kabisa kabisa. kuna siku mtakuja kustuka ila mtakuwa mmeshachelewa. mtafuteni Mungu wa kweli, hao mnaowatafuta wamepandikizwa na shetani ili mpotezee muda hapo msimwone Mungu hadi mtakapochukuliwa maisha yenu mwenda motoni bila hata kuokoka kwa kweli. Mungu awasaidie.
najua kuzipima roho, na kuhani wenu ni zao la nabii wa uongo aliyefukuziwa congo, ni pandikizi la shetani kabisa kabisa. kuna siku mtakuja kustuka ila mtakuwa mmeshachelewa. mtafuteni Mungu wa kweli, hao mnaowatafuta wamepandikizwa na shetani ili mpotezee muda hapo msimwone Mungu hadi mtakapochukuliwa maisha yenu mwenda motoni bila hata kuokoka kwa kweli. Mungu awasaidie.
naona misukule mmetoka wengi, ni suala la muda tu, hata Mackenzie alikuwa anatetewa hivyo hivyo, ila sasaivi alichofanya mnakijua. huyo kuhani wenu ni mtoto wa yesu wa mkombo, nabii wa uongo toka congo, yeye naye yote anafundisha hayatoki kwa mungu, yanatoka kwa yule adui, lusifa aliyejivika vazi la kondoo ila ndani ni mbwa mwitu anayewapotezea watu muda wasiokoke washinde hapo wakihangaikaaa and at the end of the day wasiupate wokovu wa kweli. this is real. mtafunguka lini?Hizo story za kijiweni ndio zinakudanganya hivyoo
Hebu thibitisha ushetani wake hapa ili tujiridhishe
Vinginevyo Wacha kuhemka
naona misukule mmetoka wengi, ni suala la muda tu, hata Mackenzie alikuwa anatetewa hivyo hivyo, ila sasaivi alichofanya mnakijua. huyo kuhani wenu ni mtoto wa yesu wa mkombo, nabii wa uongo toka congo, yeye naye yote anafundisha hayatoki kwa mungu, yanatoka kwa yule adui, lusifa aliyejivika vazi la kondoo ila ndani ni mbwa mwitu anayewapotezea watu muda wasiokoke washinde hapo wakihangaikaaa and at the end of the day wasiupate wokovu wa kweli. this is real. mtafunguka lini?
Simjui huyo wala sijawahi kumsikia na siwezi kumuongelea
Tulia shindano zikuingie
Imani ni ufunuo wa Mungu kwa mwanadamu; ni ile hali ya akili ya mtu kupokea ukweli uliofunuliwa na Mungu akiambatanisha nafsi yake kwa Mungu.
Kuhani Musa Richard Mwacha amejulikana kama mtumishi wa Mungu mwenye imani kwa Kristo. Na amekua na huduma yake katika jiji la Dar es salaam kwa miaka michache sasa.
Ukifuatilia ni muda mfupi tangu aanze huduma ila utakutana na mambo mengi sana na kati ya hayo mengi ni style ya mahubiri yake, miujiza na maajabu kwenye ibada zake na idadi kubwa ya waumini alionao ndani ya muda mfupi sana maana miaka 3 au mi4 bado huduma ni changa.
Watu wengi tunajiuliza mengi sana juu ya mtumishi huyu. Wengi wetu hatuamini kama yanayonekana kuotokea ni ya kweli lakini pia wapo wanaoamini ni kweli.
ILA SWALI MOJA LA MSINGI "KUHANI MUSA NI NANI HASWA?
Shuhuda zimetolewa hadharani, na ni shuhuda zinazodhihirisha mambo magumu kufikirika katika hali ya kawaida. Ila hawa walioshuhudia wapo kati yetu, mtaani kwetu hata majumbani kwetu, kigoma, chato, kilimanjaro, sumbawanga, kagera, Dar es salaam mmetisha sana. Wenyeji wa huko mnasemaje kuhusu Kuhani Musa?
Fred William Rwegasira.
View attachment 2123813
Mr Rwegasira ni mzaliwa wa mkoa wa Kagera, Bukoba kule, Mkazi wa Salasala - Dar es salaam. Na sasa anaishi kimara
Innocent Carol Paulo
View attachment 2123832
Innocent Carol Paulo ni mzaliwa wa Chato. Na mkazi wa Tabata - Dar es salaam
Levina Lyamuya na mdogo wake
View attachment 2123876
Levina ni mwenyeji wa Kilema, Moshi- Kilimanjaro
Malkia
Wakorinto
KUHANI MUSA RICHARD MWACHA NI NANI??
sindano gani sasa, hivi unafikiri wanatusumbua hawa? mbona tunawajua, yaani pepo anisumbue? wafuasi wake ninyhi ndio misukule mtakuja kufa kama alivyoua watu wake Mackenzie kule kenya. huyo jamaa ni nabii wa uongo, plus mwamposa, plus elisha mumewe chibalonza, plus peter nyaga. nyoote mnasubiri moto wa milele pamoja na shetani, ama la muokoke na muache utapeli.
Sumbawanga mtoto afufuka
ttps://youtu.be/PHUUbiYOEBY
Cancer
View attachment 2124268
Baada ya siku2
View attachment 2124312
Baada ya miezi 2
View attachment 2147561
Nimekuelewa sana. Ufufuo upo na uponyaji upo
Babu Ochu; mimi, wewe, huyo malkia wa freemason sote ni watanzania. Kila kitu kiko wazi upande wa Kuhani Musa tena vipo online hapo.
Sasa nadhani ili kuuthubitishia umma kwamba huo ni upuuzi kama unavyosema lazima uthibitishe kwamba hizo shuhuda ni za uongo. Hivi vitu havihitaji hata hasira vinahitaji tuu kuthibitishwa
Kuhusu matumizi ya biblia vifungu vya kuogofya vya ufunuo na agano la kale sioni kama vinaogofya kuliko matendo yanayofanyika na wanadamu wa leo, na wala hauna kipande cha maandiko matakatifu kisichotakiwa kutumika
Zaidi ya yote ili neno liweze kuwasaidia watu lazima lihubiriwe kwa nyakati na mazingira waliyomo na wanayoishi
Kwanini tunaongea maneno mengi ya kukataa bila kusema hayo anaayofanya yapo au hayapo?
Turudi kwenye maada, tuje na shuhuda kwamba yanayotendeka pale ni ya uongo au ni ya ukweli kwa maslahi makubwa ya umma
Umesema "Mtu akianza mara nabii, mtume au kuhani, mwulize ni nani aliyempa hicho cheo;" mimi nitakuuliza je, kina Ibrahimu, Musa, Yakobo walipewaga vyeo vyao na nani
Nimepata video ya Kuhani Musa akielezea historia yake kwa ufupi sana
Kuhusu hilo la kuandamana kwenda mortuary na kiongozi wa dini ili akafufue wafu nalo ulifikirie vizuri.
Habari za miujiza ya kufufua wafu ipo tangu enzi za manabii na Yesu Kristo mwenyewe lakini sio kila mtu anayekufa alifufuliwa
Nimesikiliza baadhi ya shuhuda za watu kufufuka sikuona popote pale ambapo amesema anataka kuwafufua; waliofikwa na hayo matukio ndio wamerudi kupaza sauti ya ufufuo
Sijawahi kusikia hilo la kuwako na kiingilio au la kutoa pesa ili watu waponywe. Labda mama kubwa na wengine hao walioshuhudia hapo juu au ndugu na jamaa zao watupatie ukweli wa hili ili tumjue Kuhani Musa zaidi
GREAT THINKERS wa Jamiiforums hivi huyu KUHANI MUSA RICHARD MWACHA ni nani haswa?