Niliwahi kukisia uwezo wako kiakili ila sikuhitimisha kuwa ni mdogo namna hii, tangu dunia ianze [ukiacha ile stori ya Yesu]…. ulisikia wapi wafu kufufuka katika maisha halisi?
Kuthibitisha nini ? (kwamba watu hawapati ahueni baada ya kwenda kwa mtu kama yeye ) ? Huenda wanapata ahueni kwa kuwapata support na kuwapa hope; ila anachowapa huenda ni kama vile wewe ukipewa sukari ukaambiwa ni pain killer (Imani yako itakuponya)Natamani sana tuthubitishe ni trick kwa umma wa watanzania ndio maana nimeambatanisha video na maelezo
Kuthibitisha nini ? (kwamba watu hawapati ahueni baada ya kwenda kwa mtu kama yeye ) ? Huenda wanapata ahueni kwa kuwapata support na kuwapa hope; ila anachowapa huenda ni kama vile wewe ukipewa sukari ukaambiwa ni pain killer (Imani yako itakuponya)
Kwahio kwenye suala la Imani (its more you na kuamini kwako) kuliko yeye ; Yeye ni support tu ya kukupa Confidence
Hao ni manabii wa mchongoFanya uchunguzi kwanza ndio utoe hoja!? Hao wanaofufuka nini kilitokea? Walifuatwa mortuary au makaburini?
FilmeeImani ni ufunuo wa Mungu kwa mwanadamu; ni ile hali ya akili ya mtu kupokea ukweli uliofunuliwa na Mungu akiambatanisha nafsi yake kwa Mungu.
Kuhani Musa Richard Mwacha amejulikana kama mtumishi wa Mungu mwenye imani kwa Kristo. Na amekua na huduma yake katika jiji la Dar es salaam kwa miaka michache sasa.
Ukifuatilia Kwa muda mfupi sana utakutana na mambo mengi sana na kati ya hayo mengi ni style ya mahubiri yake, miujiza na maajabu kwenye ibada zake na idadi kubwa ya waumini alionao ndani ya muda mfupi sana maana miaka 3 au mi4 bado huduma ni changa.
Ila swali moja la msingi huyu Kuhani Musa ni nani haswa?
Hizi shuhuda zimetolewa hadharani, ni shuhuda zinazodhihirisha mambo magumu kufikirika katika hali ya kawaida. Ila hawa walioshuhudia wapo kati yetu, mtaani kwetu hata majumbani kwetu, kigoma, chato, kilimanjaro, sumbawanga, kagera, Dar es salaam mmetisha sana. Wenyeji wa huko mnasemaje kuhusu Kuhani Musa?
Fred William Rwegasira.
View attachment 2123813
Mr Rwegasira ni mzaliwa wa mkoa wa Kagera, Bukoba kule, Mkazi wa Salasala - Dar es salaam. Na sasa anaishi kimara
Innocent Carol Paulo
View attachment 2123832
Innocent Carol Paulo ni mzaliwa wa Chato. Na mkazi wa Tabata - Dar es salaam
Levina Lyamuya na mdogo wake
View attachment 2123876
Levina ni mwenyeji wa Kilema, Moshi- Kilimanjaro
Malkia
Bwana Yusufu
Yusufu ni mzaliwa na mwenyeji wa kigoma
Sumbawanga mtoto afufuka
ttps://youtu.be/PHUUbiYOEBY
Hakuna cha anayefufuka, huko unadanganywa tu. Mtu angekuwa na huu uwezo, angeenda pale ITV au pale ikulu kabisa kudhihirisha huo uwezo.Fanya uchunguzi kwanza ndio utoe hoja!? Hao wanaofufuka nini kilitokea? Walifuatwa mortuary au makaburini?
Kama nimeweka uzi hapo tujadili kinachoendelea badala ya kuja na hoja unakuja na maneno matupu lazima wewe utakua na akili fupi kuliko mkia wa sungura
Issue zinazohusu jamii hujadiliwa kwa hoja na watu kuelimika na sio kuja na blahblah
Ni kweli ila tunajadili nini labda ?Imani ni swala la mtu binafsi ila kujadili hapa ni elimu kwa wengi. Ndio maana ya mjadala
Nimekuuliza kama wewe umewahi kusikia mfu kafufuka [mbali na shuhuda za madhabahu uchwara], kisha unasema hizi ni blah blah…. kisa tu hizo clips zilizoandaliwa.!
Kujadili kwa njia shirikishi, nimekuachia ujiulize…. sio wakati wote uchukue notisi.
Ni kweli ila tunajadili nini labda ?
Kwamba fulani ni nani ? (Sawa ni Swali zuri wanaojua watajibu na huo mjadala unawezekana)
Kwamba fulani anasaidia au hasaidii watu ? (Huenda anasaidia sijui wanaokwenda pale wanataka nini, emotional support, hope, maneno ya kufarajiwa au support / nguvu ya kupewa confidence katika wakati mgumu walionao) hayo yote wanaweza wakapata so long as mtu huyo ana people's skills, ila huenda anachowapa ni kama waliopewa sukari wakiambiwa ni pain killer na kutokana na nguvu ya imani kweli maumivu yalipungua...
Au tunajadili so called miracles ? Ndio hapa point yangu inakuja kutokujua trick inafanyikaje haimaanishi kwamba trick hio ni kweli simple answer huenda ni kwamba mimi sio sijui inafanyikaje..., my litmus test huwa ni vitu vinavyodefy logic ni kuviangalia kwa jicho la tatu na sio kuvimeza vizima vizima....
Nimekuuliza kama wewe umewahi kusikia mfu kafufuka [mbali na shuhuda za madhabahu uchwara], kisha unasema hizi ni blah blah…. kisa tu hizo clips zilizoandaliwa.!
Kujadili kwa njia shirikishi, nimekuachia ujiulize…. sio wakati wote uchukue notisi.
Nimekuuliza kama wewe umewahi kusikia mfu kafufuka [mbali na shuhuda za madhabahu uchwara], kisha unasema hizi ni blah blah…. kisa tu hizo clips zilizoandaliwa.!
Kujadili kwa njia shirikishi, nimekuachia ujiulize…. sio wakati wote uchukue notisi.
Nakubaliana na wewe kwa time management hayupo vizuri na watu wengi inawakera hii kuna upotezaji muda sana mambo yasiyo muhimu ajifunze kwa wenzake wanaofanya huduma fupi fupi na watu wanafunguliwaMimi nampendeaga kwenye mahubiri yake yuko vizuri sana katika kufafanua mambo mbalimbali katika biblia. Kitu kinachonikwaza kwake ni namna anavyochelewesha ibada bila kujali watu wanatoka mbali mara nyingi nikipita tembeon siku za ijuma ana jumanne utawakuta watu wamezagaa kule had saa saba wanatoka ibadani kweli hii sio salama sana,ajitahidi amalize ibada walau saa mbili na nusu watu wawahi kwao.
Mengine jamaa yuko vizuri sana na nazani ndio maana amepata mafanikio Makubwa kwa muda mfupi an kuwazidi hata waliomtangulia
Mnawapotosha watu sikila alitajaye jina Bwana .....Nimeisha wapi?
Tuchangie maada kwa faida ya wengi.