Waleft tu, sio kubweka ka midog koko woh woh kataa ndoa ilihali wenyewe alizaliwa na wanandoaInawezekana kabisa hawa wakawa kwenye mpango wa kuleft group
Shetani alijua angempa adam swaga za tunda angekula peke yake mpaka kuumaliza mti wote.Mimi nimekutana na malalamiko mengi na magomvi mengi ya mahusiano yanayotokana na hili. Hapa ndio pale mwenyezi Mungu aliwaambia wanaume waishi wanawake kwa akili.
View attachment 2598347
Usipotumia akili unaweza kuachwa sababu ya kukosa kazi na unaweza kuachwa sababu una kazi๐๐๐
Sisi ndio wanawake ๐ ๐
Cc DeepPond
Shetani alijua angempa adam swaga za tunda angekula peke yake mpaka kuumaliza mti wote.
Akamuingoa mwanamke ili ale na mumewe. Shetty na hesabu zake za kizandiki akafanikiwa
Tunaishi nanyi kwa akili maana kha si kwa matukio mnayotupiga
Hakika hakikaInahitaji kuwa mwanaume mwenye akili za moyoni zilizo imara na makini kwa mwanaume yoyote anayeingia kwenye mahusiano
sasa nikikulisha halafu nisikuchape ndrongaa ya kwenda si nitakua mngemse ๐Wewe bakia na hiyo ndonga yako uone utavyopigwa matukio
Ili ndonga ithaminike Mwanamke anahitaji Kula vizuri, kulala, kupendeza babueee... upo!?
sasa nikikulisha halafu nisikuchape ndrongaa ya kwenda si nitakua mngemse ๐
mwanaume yeyote mwenye uvhungu na pesa yake, lazima ajue kutembeza ndrongaa๐ hii ndo fani yetu..... tunajivunia๐
matunzo utapewa ndio, ni formality...... lakini hapo kwenye ndrongaa ndo tunapapania zaidi ๐ unazani tunahangaika na nyie ilimradi tupige story tuu??๐ kila jiwe litageuzwa....Matunzo na ndonga hayo ndio mambo