Kuharibika kwa biashara

Kuharibika kwa biashara

KIRINGO AUTO SPARE

New Member
Joined
Nov 6, 2019
Posts
1
Reaction score
1
Habari za usiku. Wanabiashara na wajasiriamali kwa ujumla, ningependa kuuliza mambo gani yanaweza kuharibu biashara kwa mtu aliye na mtaji wa kuanzia 25 million?
 
Pole sana..kuna namna flani ya kupata wafanyakazi wazuri

Ipi hyo! Mie nimefanya mistake ...mie asili ni very soft(naishi nao km wanangu0kumbe ni mbaya sana..siwez kuwa harsh (ingawa nauweza utata sana)..ss wananuchukulia ah sisy huyu bonge ya mtu .bas wananikeraa...ukiyapa mshahara mkubwa ndo kwanza utajikuta kil mwez unabadili..kuna jingine niliamua kulilipa vzr uwii likatoroka ..hahha unbak unashangaa huyu anataka nn ss...anadai aliona aibu kuaga..ameanzisha jiwe la kuchajisha simu..ukimbania utasemwa unaonea!sijajua nifanyeje!nipe ujanja!
 
Kuna mbinu nzurisana siku hizi wanatumia sana wafanya biashara wakubwa..
 
Njia nzuri ni kuchukua vijana kutoka mikoani na kuwapangia chumba..wasikae kwako then kila baada ya muda kunakuwa na semina elekezi juu ya biashara husika..weka mshahara basic na promotion ni vilemtu atafanya mauzo kwa kiasi gani..nililenga kumsaidia mlalamikaji. Na ningemconnect nabaadhi ya watu naowafaham wanaoitumia mbinu hii kama wale whiterose food chain. Ila akienda yeye pekeake hawezi kuskilizwa. Mimi ni moja ya zao la hapo..sema kuna chawa wengi wanaharibu uzi.
 
Kuna skills za kudeal na watu..sio kumburuza wala kumkumbatia kuna namna bora ya kuhusiana kibiashara.
 
Back
Top Bottom