KIRINGO AUTO SPARE
New Member
- Nov 6, 2019
- 1
- 1
Habari za usiku. Wanabiashara na wajasiriamali kwa ujumla, ningependa kuuliza mambo gani yanaweza kuharibu biashara kwa mtu aliye na mtaji wa kuanzia 25 million?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafuriko ya mvua.
Habari za usiku. Wanabiashara na wajasiriamali kwa ujumla, ningependa kuuliza mambo gani yanaweza kuharibu biashara kwa mtu aliye na mtaji wa kuanzia 25 million?
Kabisa, wafanyakazi ni changomoto sana. Niishie hapa.Changamoto huwa ni nyingi sana na jitahid uzivuke salama..hasa vibarua/wafahyakzi ni pasua kichwa!
Mimi nimekonda kbs!naishia hapa!Kabisa, wafanyakazi ni changomoto sana. Niishie hapa.
We acha tu dada, nipo dilemma hapa, hadi nashindwa kuelewa huyu kijana nimfanye nini...! mana amenigongea shot ya kutosha tu.Mimi nimekonda kbs!naishia hapa!
Pole sana..kuna namna flani ya kupata wafanyakazi wazuriMimi nimekonda kbs!naishia hapa!
Pole sana..kuna namna flani ya kupata wafanyakazi wazuri
Kuna mbinu nzurisana siku hizi wanatumia sana wafanya biashara wakubwa..Ipi hyo! Mie nimefanya mistake ...mie asili ni very soft(naishi nao km wanangu0kumbe ni mbaya sana..siwez kuwa harsh (ingawa nauweza utata sana)..ss wananuchukulia ah sisy huyu bonge ya mtu .bas wananikeraa...ukiyapa mshahara mkubwa ndo kwanza utajikuta kil mwez unabadili..kuna jingine niliamua kulilipa vzr uwii likatoroka ..hahha unbak unashangaa huyu anataka nn ss...anadai aliona aibu kuaga..ameanzisha jiwe la kuchajisha simu..ukimbania utasemwa unaonea!sijajua nifanyeje!nipe ujanja!
Njoo dmKuna mbinu nzurisana siku hizi wanatumia sana wafanya biashara wakubwa..
Ziweke hapa mkuu kwa faida ya wengKuna mbinu nzurisana siku hizi wanatumia sana wafanya biashara wakubwa..
kabisa ili watu wote tunufaike hayo mambo ya dm siyo poa sana.Ziweke hapa mkuu kwa faida ya weng
kabisa ili watu wote tunufaike hayo mambo ya dm siyo poa sana.
hongera kwa upeo wako..you sound foolPia inaonesha dalili ya utapeli hapo