Kuhojiana ndani ya vyama vyetu ndiyo ustaarabu,tusifukuzane kisa kuhoji

Kuhojiana ndani ya vyama vyetu ndiyo ustaarabu,tusifukuzane kisa kuhoji

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Kuhojiana ndiyo tamaduni uliyo ya kistaarabu sana hasa ndani ya vyama vyetu,au vyombo vyetu vya umoja au umma,hasa pale panapokuwa na mashaka fulani fulani, kuhojiana ndani ya vikao vya chama hakupaswi kuwa fimbo kwa wale wanaohoji maswala kadhaa wa kadhaa,

Basi kwa hili,tunaomba wale wote walioondoshwa au kusimamishwa ndani ya chama warejeshwe kwa haraka sana kwani kinachoendelea ndani ya chadema ni zaidi ya udikiteta uchwara!, ""
1000006625.jpg
MNAWAZIBA WANACHADEMA UWEZO WA KUONGEA NA KUHOJI KIMABAVU""
 
Kuna utaratibu wa kuhoji.
Katiba ya Chama inaelekeza ukiwa na suala fulan unataka ufafanuzi ni wap pa kuanzia.

Ukitoka na kuhoji hadharani sio maadili. Na kuna hatua utachukuliwa na uongozi husika.

Kwenye hili suala Tunaomba tukumbuke wanachama wetu wa CCM ambao walihoji hadharani na kilichowakuta.

1. Mh Ndugai alihoji kuhusu Deni la taifa na akatoa mawazo yake hadharani.
2. Mh Polepole
3. Mh Mpina
4. Mchungaj Malisa , alitoka hadharan kupinga maamuzi ya kikao kilichompitisha Mh Rais Samia, kugombea uraisi. Na punde tu akafukuzwa uanachama.

Matendo ya Mitume 7 : 5
"Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako"
 
Kuhojiana ndiyo tamaduni uliyo ya kistaarabu sana hasa ndani ya vyama vyetu,au vyombo vyetu vya umoja au umma,hasa pale panapokuwa na mashaka fulani fulani,
#kuhojiana ndani ya vikao vya chama hakupaswi kuwa fimbo kwa wale wanaohoji maswala kadhaa wa kadhaa,
#Basi kwa hili,tunaomba wale wote walioondoshwa au kusimamishwa ndani ya chama warejeshwe kwa haraka sana kwani kinachoendelea ndani ya chadema ni zaidi ya udikiteta uchwara!, ""View attachment 3627462MNAWAZIBA WANACHADEMA UWEZO WA KUONGEA NA KUHOJI KIMABAVU""

Taratibu za kuhojiana ndani ya chama unazijua ?
 
Back
Top Bottom