Kuhojiana ndiyo tamaduni uliyo ya kistaarabu sana hasa ndani ya vyama vyetu,au vyombo vyetu vya umoja au umma,hasa pale panapokuwa na mashaka fulani fulani,
#kuhojiana ndani ya vikao vya chama hakupaswi kuwa fimbo kwa wale wanaohoji maswala kadhaa wa kadhaa,
#Basi kwa hili,tunaomba wale wote walioondoshwa au kusimamishwa ndani ya chama warejeshwe kwa haraka sana kwani kinachoendelea ndani ya chadema ni zaidi ya udikiteta uchwara!, ""
View attachment 3627462MNAWAZIBA WANACHADEMA UWEZO WA KUONGEA NA KUHOJI KIMABAVU""