Mkuu kifewe kimekukumba ama unatoa tu tahadhari kwa wahanga!?Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.
Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.
#selfie_Idumu#
Inasikitisha sana [emoji3]
Sasa ni mafanikio gani ya kimaisha unayokuwa nayo kama huongi?Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.
Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.
#selfie_Idumu#
Kula kwa urefu wa kamba yako. Spend what you can afford to looseUkitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.
Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.
#selfie_Idumu#
Starehe gharama mazee, mademu wazuri utaishia kuwaita shemeji tu, ukishuhudia wenzako wanavyokojowa pazuri.Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.
Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.
#selfie_Idumu#
Truly Kuhonga ni kwa ajili ya watu masikini zaidi.
Kumuhudumia MTU kunahitaji zaidi ya PESA ni aina Fulani unajitoa kwa MTU with none -profit.
So I agree with you ✊
Aisee jana kuna mahali amenibananisha mrembo mmoja, daah on target kabisa!! imenitoka 50k.Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.
Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.
#selfie_Idumu#
Hapo ingekuwa ni kwenye question tags tungesema;Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.
Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.
#selfie_Idumu#
😂 dah 2500Sasa kama unahonga laki 8 maana yake hela hiyo ya kuhonga unayo!
Mimi kuanzia Jumatatu mpaka leo jumapili nimehonga 3500 tena kwa siku mbili tofauti!
Siku ya kwanza nilihonga toto moja la kienyeji mtaani hapa 1000,
Toto zuri sana sura ya baba ila umbo lake ni 5 star.
nyingine nimemtumia demu nauli 2,500 na bahati mbaya amekula nauli yenyewe hajaja
Sio mchezo halafu anakuomba kama utani tuKuwa mwanamume sio rahisi jamani😂 hebu fikiri kumpa mtu asiyekudai hela yani unampa tu kiroho safi!
Anapanda gari moja tu mkuu 800 kuja.😂 dah 2500
Itakuwa alimsikiliza zuchu vizuriAnapanda gari moja tu mkuu 800 kuja.
Kwahiyo 2,500 nilimuwekea na bonasi ya kutolea pamoja na vocha.
Ila ndiyo hivyo amekula nauli na hajatokea.