Kuhonga kunavyomaliza pesa!

Kuhonga kunavyomaliza pesa!

Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.

Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.

#selfie_Idumu#
Mkuu kifewe kimekukumba ama unatoa tu tahadhari kwa wahanga!?
 
Attachments

  • IMG_20240721_062639.jpg
    IMG_20240721_062639.jpg
    29.2 KB · Views: 4
Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.

Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.

#selfie_Idumu#
Sasa ni mafanikio gani ya kimaisha unayokuwa nayo kama huongi?
 
Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.

Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.

#selfie_Idumu#
Kula kwa urefu wa kamba yako. Spend what you can afford to loose
 
Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.

Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.

#selfie_Idumu#
Starehe gharama mazee, mademu wazuri utaishia kuwaita shemeji tu, ukishuhudia wenzako wanavyokojowa pazuri.
 
Hebu tofautisheni kuhonga na kumhudumia.

Kuhonga ni kutoa fedha au vitu vya Thamani ili kumshawishi demu akubali ulale naye/uingie naye kwenye mahusiano

Ukishakuwa kwenye mahusiano na demu na ukawa unatimiza mahitaji yake ya kumsapoti pale anapohitaji msaada wako, ni kumhudumia na sio kuhonga.
 
Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.

Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.

#selfie_Idumu#
Aisee jana kuna mahali amenibananisha mrembo mmoja, daah on target kabisa!! imenitoka 50k.
Bila kukusudia wala kutarajia.
 
Sasa kama unahonga laki 8 maana yake hela hiyo ya kuhonga unayo!
Mimi kuanzia Jumatatu mpaka leo jumapili nimehonga 3500 tena kwa siku mbili tofauti!
Siku ya kwanza nilihonga toto moja la kienyeji mtaani hapa 1000,
Toto zuri sana sura ya baba ila umbo lake ni 5 star.
nyingine nimemtumia demu nauli 2,500 na bahati mbaya amekula nauli yenyewe hajaja
😂 dah 2500
 
Back
Top Bottom