Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhonga ni wide termUkitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.
Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.
#selfie_Idumu#
Sio kweli mkuu, kumhudumia mpenzi wako nalo ni jukumu lako...Ukihitaji kuhonga maana yake hupendwi wewe zinapendwa hela zako.
Hazina imekauka - by TanzaniaLeaksUkitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.
Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.
#selfie_Idumu#
Kwanza kabisa, kuhonga si kumhudumia mpenzi wako.Sio kweli mkuu, kumhudumia mpenzi wako nalo ni jukumu lako...
Umaskini mkuu, tafuta hela mazee.....Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.
Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.
#selfie_Idumu#
Kwanza kabisa, kuhonga si kumhudumia mpenzi wako.
Mpenzi wako akiumwa na kuhitaji kuhudumiwa nawe, kumhonga hakuwezi kumsaidia kupata anachotaka.
Pili, kumhudumia mpenzi wako kuko kwa namna nyingi sana. Kuhonga ni njia rahisi sana na ya kimasikini kabisa ya kumhudumia mpenzi wako.
Ni kitu unaweza kufanya bila hata kuwa naye, si unamtumia hela tu.
Kumhudumia mpenzi wako kiukweli kabisa kunataka zaidi ya hela, kunataka kutumia muda wako naye.
Mambo haya watu wengi wa jamii zilizojaa umasikini ambao mawazo yao yamekaa kwenye kufanya mapenzi kuwa ni transactional kwenye kuhonga hela na material things hawawezi kuelewa.
Kwa sababu umasikini na tamaa vimewaziba uwezo wa kuelewa.