Kuhudumia mwanamke ni raha sana

Kuhudumia mwanamke ni raha sana

Nifanye Nini

Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
61
Reaction score
147
Kuwa bonge la bwana sio lazima uwe na mwili mkubwa vile unavyowatendea wanawake (mapambo ya ulimwengu) ndiyo yatafanya mwanamke amwage machozi siku utakayomwambia "Me and you it's over".

Siyo mpo kwenye date kila mara unaweka mikono mfukoni, mara kabla ya kuagiza unaanza kuuliza bei, nini sasa huo ni utoto. Always big boys wanakuwa confident na well prepared for unseen moments.

Kazi mbovu ni za mafala, kazi nzuri ni za wajanja!
 
Aya bwana ngoja tuendelee na kazi mbovu mpaka pale tutapokuwa wajanja.
 
Hata sisi tulivyopata penzi jipya tuliwaza hivyo

But wait upigwe Kitu kizito [emoji23][emoji23] utakuja kuleta mrejesho
 
Hongera mkuu, mimi kuna demu nilipata ndani ya week ile mizinga nadhani inaweza kufikia milioni nikatoka nduki, kweli watu hatufanani
 
We kahonge ila "MAKATIBU" hatumii hata shilingi.
 
Back
Top Bottom