mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Hiyo sasa unafanya Generalization, sio sawa. Siwezi sema Machadema wajinga, wala ma Act. Kuwa na busaraMaccm majinga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sasa unafanya Generalization, sio sawa. Siwezi sema Machadema wajinga, wala ma Act. Kuwa na busaraMaccm majinga tu
KabisaSemi nzito hazina tija sana, tija ni matendo
Ukisema kuwa semi ndo uongozi basi unamaanisha kuwa bubu hana haki ya kuwa raisi wa nchi hii!
KabisaMama naona anaiga style ya JK, yeye kimya yani anawaachia tu. Tofuati yake na JK ni kwamba JK ni Master Spy na Mtaalamu wa siasa, anapiga hesabu za mbali na anapima kisha anaamua cha kufanya. Aliju kuwa Edo alikuwa anamhujumu, na alifikia kutaka kupinduliwa uenyekiti 2012 lakini alitulia. Hata ile 2015 mipango ya Edo aliijua na hata wajumbe kuimba mbele yake wanaimani na Edo alitabasamu akawatuliza akawaambia haya mkale turudi. Huyu jamaa ni Master.
Huyo Rostam anayeonekana anasumbua alishakimbia hapa alikuwa zake Dubai, karudi kipindi cha Marehemu. Alimpa onyo kwa upole kiwango cha hayo unayofanya ukiendelea unachostahili ni hiki, jama akapote kabisa.
Sasa huyu Mama yetu hata kifua cha kuhimili mambo sijui kama anacho, ana kazi sana katika uongozi wake.
KabisaNa tukisema mnalihujumu hilo kundi mnaloliita la sukuma gang/wafuasi mnaowaita wa jpm ili watolewe watu fulani ambao bado wanawabania ili muachiwe msibuguziwe mpige hela vizuri je?
Mama samia ukweli ni kua jini likujualo halikuli likakumaliza,
Hao wanaoitwa sukuma gang na wanaoitwa wafuasi sijui wa jpm bdo watakusaidia ktk kusonga na kupata uungwaji mkono wa wananchi ktk uongozi wako,Hao mafisadi yanayojaribu kucheza kila rafu ili wajisogeze kwako na kina lugumi kua nao Makini sanaaaa,utageuka Mr.msoga baada ya miaka mi3 base na kuanza kupapasa papasapapasa ulichowafanyia waTZ pindi ukiulizwa umefanya mn ktk uongozi wako
Wakati wa JPM utoaji wa habari ulidhibitiwa na matukio mengi yalipita bila kuripotiwa.Wewe umamtetea Mama wakati yeye mwenyewe keshakiri kuwa sasa hivi anaona viujambazi jambazi na viuporaji poraji vimeanza kurudi maana yake anakiri kuwa vilikuwa havipo kwa kipindi cha nyuma. Ma kamuagiza Siro kuhakikisha vinadhibitiwa. Kwa hiyo ni ukweli vilikwisha huko nyuma.
Uongo ni kusema "haya hayakuwepo enzi za Magufuli" wakati yalikuwepo.Kwani unakuwa ni uongo ama ni kweli?
Huo ni mtazamo wako na wewe.Uongo ni kusema "haya hayakuwepo enzi za Magufuli" wakati yalikuwepo.
Mataga mpaka mje mstuke jamaa hatunae tena 2030 hii hapa paap!!!Ujinga mtupu ,umbea na kujipendekeza. Si ajabu umepata upeo wa kujieleza kwenye awamu ya tano tuliokulia kwenye awamu kadhaa ya nchi hii tunafahamu awamu ya tano ilivyofanya. Awamu hii ya sita inaelekea kufanana fanana Nan awamu ya nne na tunapinga kurudi huko. Anyway kuna some points ila ni chache na hauonyeshi reality badala ya ushabiki Nan kujipendekeza.
Ndio maana nikasema Rais SSH akizingua una haki (uhuru) wa kusema. Ninachokusihi usiseme lisilo la kweli, au we unaonaje?Huo ni mtazamo wako na wewe.
Kwa hiyo tusiingiliane. Uhuru wa maoni
Ukweli au uongo ni wewe unavyoweza kutafsiri.Ndio maana nikasema Rais SSH akizingua una haki (uhuru) wa kusema. Ninachokusihi usiseme lisilo la kweli, au we unaonaje?
Ukweli siku zote uko huru na hautegemei tafsiri ya mtu. Hujui hilo?Ukweli au uongo ni wewe unavyoweza kutafsiri.