Kuhujumiwa kwa Rais Samia Suluhu

naona umeandika kiume.! ni asha kweli ww..?😉
 
Kazi iendelee
 
Kukatika kwa umeme ni hujuma, na aina hii ya hujuma haipo Tanesco tu, na haijaanza leo. Ni wizi mkubwa wa fedha za umma kupitia taaluma ya programmer. Idara au taasisi inayotumia program za computer ni mhanga wa wizi huu. Kila mara TRA matatizo ya machine za EFD, Bank mitandao kukatika nk nk, ni wizi mtupu. Ni dunia yote, hata ukwasi wa Bill Gates ni kutokana na kubadili program zake kila kukicha, windows moja hadi nyingine.
 
Sasa kama anahujumiwa Raisi kazi yake ni nini sasa, yupo pale kufanya nini, kuwa head of state is a toughest job ever. Apambane kiume, akizingua 2025 tunatembea na Chadema.
Urais ungekuwa kazi ngumu isingepiganiwa, ni kazi rahisi mno ukifuata kanuni zake. Kila kitu unafanyiwa, una wasaidizi kila idara, unapata taarifa za watendaji wako kutoka kila kona, una baki na kazi moja ya kutumbua na kuteua wasio mudu kazi.
 
Hii kazi anaifanya kwa uangalifu sana,anasuka serikali yake polepole
 
Ni kuwatambua na kuwawajibisha kwa mujibu wa sheria, hayo yapo hata kwenye kazi ukipandishwa cheo lazima ukutane na wahujumu, na suluhisho sio kuwatafutia mizengwe, unafuata taratibu za kazi wananyoooka kama rula ni rahisi sana, wanapiga kelele kuficha makosa yao sasa yeye ni kufuata sheria za kazi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…