Kuhusika kwa Jeshi la Polisi vifo vya vijana wawili, tunataka uchunguzi huru

Hao vijana ni kina nani na wanajuhusish na nini??
Wewe unajihusisha na nini?? Kuwa na huruma hata kama sio kabila yako au dini yako kuna clip ipo humu muandishi wa habari akiwahoji nduguzake..ACT wananchi tupo tayari hata kuchangia wakili
 
Rudia unacho type kabla ya kubandika.

Wamekamatwa tarehe 27 Desemba halafu wametafutwa kwa siku 6 wakakutwa hospitali ya Amana tarehe 28 Desemba?
Huyo ndiyo Abdul Nondo
 
Wanasiasa wanapenda kukurupuka
Hivi hao wanaijuwa vingunguti ilivyo
Hivi wanajuwa watu wa huko wamekutana na mikasa gani?

Ova
Hii inafikirisha. Sidhani kama polisi wanaweza kukurupuka kuwatafuta vijana sita na kuamua kuwaua bila sababu ya maana.

Kuna ukatili umefanywa na polisi kwa ajili ya mambo ya kisiasa, mapenzi au mali.

Haingii akilini Polisi waue kwa kujifurahisha bila sababu ya msingi. Vingunguti, Buguruni,Dar yote wawachague hao sita?

Panyaroad ni hatari sana.
 
Naona umeungana na wadini wenzako
Juzi hukuona polisi katuma watu wamuuwe mumewe?

Hujasikia kina Zombe walikuwa na kesi ya kuuwa raia kwa mali?

Hukusikia Mtwara Polisi wameuwa kwa ajili ya malli.

Ypote hayo yamebainika baada ya uchunguzi huru.


m Uislam ni udini, basi mimi ni wa kwanza.
 
Wewe unajihusisha na nini?? Kuwa na huruma hata kama sio kabila yako au dini yako kuna clip ipo humu muandishi wa habari akiwahoji nduguzake..ACT wananchi tupo tayari hata kuchangia wakili
Kuna mzazi anayeweza kumsema vibaya mwanawe?(hata kama ni mwizi)
 
Wewe unajihusisha na nini?? Kuwa na huruma hata kama sio kabila yako au dini yako kuna clip ipo humu muandishi wa habari akiwahoji nduguzake..ACT wananchi tupo tayari hata kuchangia wakili
Sina huruma kwa panya road hata akiwa mdogo wangu.

Nyie wekeni tu wakili, binafsi hii safisha safisha wnayoifanyaga polisi kwa hawa panyaroad inaleta ahueni kwa raia.
 
ACT Mmekuwa watu wa matukio. Bila tukio hamna ajenda yoyote
 
Kutoka tarehe 27 hadi 28 kwanini hao ndugu zao walikuwa wanawatafuta takribani siku sita?
 
Pole Sana ndg umeeleza vizuri mno, kiukweli nimejikuta natokwa na machozi, kweli duniani HAKUNA Haki maana waliopewa rungu la kusimamia Haki ndio wavunjifu wakubwa wa Haki[emoji24]
 
Hilo ni muhimu maana tumeshaona polisi wakiuwa watu bila hatia.
kwa kuwa mmeona ni majina na kiislam ndio mnashadadia! hii tabia zito anayo tokea mkiru kule! wangekuwa wameuwawa akina joseph mngekaa kimyaaaa
 
Kuna Haja Wanaojihusisha na Siasa kabla ya kuruhusiwa kuanza kuhutubia Umma kwenye Mswada kiwekwe Kipengele cha
1. Asiwe Mvuta Bangi , Asiwe amewahi Kuvuta Bangi na Kujihusisha kwenye uharifu wa kuaminika.
Hii Itasaidia kuondokana na Kusemewa na Wahuni/Waharifu/Majambazi ( Maana nao wanagikilia ata Margin yao ya Kiharifu).
Kumbuka Waharifu nao ni Wapiga kura na Wapigiwa kura bila kuweka angalizo kwa hao Watu kuna Siku tutakuja kuongozwa na Wahunihuni tu.
Na Pia, Kwenye Kipengele cha Kushauri Masuala ya Kiullinzi ( Kiwekwe Kipengele cha Wanasiasa wanaotoa Matamko ya Kutetea Waharifu nao wawe wanawekwa kama Sehemu ya Mashahidi).
NB: Uharifu unaouona akifanyiwa Jirani na kwake Itakuja, Jipange na Jilinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…