Nourhan
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 1,196
- 3,026
Nime copy kwa ndugu yake fbPole Sana ndg umeeleza vizuri mno, kiukweli nimejikuta natokwa na machozi, kweli duniani HAKUNA Haki maana waliopewa rungu la kusimamia Haki ndio wavunjifu wakubwa wa Haki[emoji24]