ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Watanganyika Sasa wanahitaji msaada wa Kisaikolojia
Kwanza nakubali kuwa ushoga ni jambo baya Kwa maadili yetu, na inafaa ukemewe
Siku hizi watu wengi wapo wanahusisha ushoga na jambo lolote, nilikuwa kijijini Nina Miche ya mapapai Fulani kwenye shamba langu, basi wakaja washikaji wapo pale halmashauri kuona Ile Miche wakaanza kusema haya mapapai ni ya ushoga, mi nikashangaa aisee
Sasa mapapai na ushoga wapi na wapi
Mfano hapa jamii forums inaweza itokee mada ya mazoezi ya viungo
Mtu aka comment kwamba mazoezi ya viungo ni ushoga
Ikatokea mada ya mavazi
Jitu lika comment, ooh rangi ya blue na nyekundu ni ushoga
Au jeans za hivi ni ushoga
Ikatokea mada ya vyakula
Jitu litasema oooh kula chipsi kuku ni ushoga, kula mihogo ni ushoga
Aisee ni kero sana
Ikatokea mada ya SGR
Jitu lika comment ati hayo ma SGR ni ushoga
Huko jukwaa la sports Huwa tunapopoana mambo ya michezo
Jitu litasema wachezaji, sijui coach ni mashoga
Kwenye mada za siasa, watu mashuri ni kuhusishwa na ushoga.
Kila mtu maarufu au aliyefanikiwa laZima awe shoga? Sijui shida ni Nini,
Watanganyika nadhani Sasa wapate msaada wa Kisaikolojia, maana hii ni kero sana
Ushoga ni jambo baya ila haliwezi kuwa kila sehemu Ushoga ukiutafuta utaupata wala haupo mbali, Kuongelea mambo ya ushoga ni kuufanyia promotion bila kujua
Au labda watu wanaufurahia ushoga wanajifanya kuuchukia ilihali kila muda kuuongelea na kuuhisisha na kila kitu
Watanganyika badilikeni huu ushoga ni uchafu na ushetani tusipende kuuongelea sana,