Kuhusisha ushoga na kila kitu ni ujinga unaochipua

Uzi una maana sana, ila bado kuna comments za kimzaha.
Binafsi huwa najiuliza kwa hapa Bongo sijui kama kuna mwalimu atapata ujasiri wa kufundisha phenomenon ya upinde wa mvua, ambao una maarifa mazuri ya sayansi ya Refraction, dispersion na total internal reflection. Yaani tayari upinde wa mvua ajenda yake imeshatekwa na watoa kiki wa ushoga, na hata ubunifu kuhusu eneo hilo utakuwa unaepukwa!
 
Hakika Iko hivo
Kwa Sasa upinde wa mvua ni adui japo una maana kwenye mambo ya kijiografia
Mwalimu akiuzungumzia jamii itamvaa
 
Hata ukiwa unaoga kila siku utakuwa shoga tu
Ukivaa nguo safi na maridadi lazima utakuwa shoga
Wale wasio mashoga kwanza lazima uwe choka mbaya, kula yako shida, unalala stoo, hapo wewe ndio mwanaume rijali
 
😅😀😅
Umenichekesha sana mkuu
 
Bado watu wapo na maruerue ya hili janga,...naamini yataisha,....
 
Back
Top Bottom