Vipi wanawake wanaosagana?Kunepewa mgongoni ni jambo jema?
Hatari kabisa against the mother nature.Vipi wanawake wanaosagana?
wametoka kupakazia watu waliofanikiwa ni freemason na sasa wamehamia kupakazia ni mashoga. Hizo ni akili duniNa eti kila aliyefanikiwa ni shoga
Aisee
Hakika Iko hivoUzi una maana sana, ila bado kuna comments za kimzaha.
Binafsi huwa najiuliza kwa hapa Bongo sijui kama kuna mwalimu atapata ujasiri wa kufundisha phenomenon ya upinde wa mvua, ambao una maarifa mazuri ya sayansi ya Refraction, dispersion na total internal reflection. Yaani tayari upinde wa mvua ajenda yake imeshatekwa na watoa kiki wa ushoga, na hata ubunifu kuhusu eneo hilo utakuwa unaepukwa!
π ππHata ukiwa unaoga kila siku utakuwa shoga tu
Ukivaa nguo safi na maridadi lazima utakuwa shoga
Wale wasio mashoga kwanza lazima uwe choka mbaya, kula yako shida, unalala stoo, hapo wewe ndio mwanaume rijali