Kuhusu Afya yangu Deogratius Kisandu

Kuhusu Afya yangu Deogratius Kisandu

nakubaliana na wewe kwa ulicho andika lakini na swali ,Je ulipima magonjwa ya akili pia?
 
Kwani huyo deo ndio nani hapa tanzania, mm nilijua mavi ya bata
 
KUHUSU AFYA YANGU Deogratius Kisandu.

1. Mimi sina UKIMWI hata chembe, na wala sijawahi kuwa na VVU, utajibeba wewe usiye jali afya yako. Utakufa na UKIMWI mwenyewe, utashangaa Deo anadunda tu.

2. Akili yangu iko safi kabisa haina chembe ya kuathirika kisaikolojia, ni mbwembwe tu za maadui.

3. Magonjwa ya zinaa sina Niko poa kabisa, utakoma wewe usiye jali afya yako.

4. Damu yangu ni Salama, Moyo wangu uko salama, Ini langu liko salama, Masikio na Macho yangu yako salama kabisa, sina matege, sina chongo, ulimi wangu uko safi, Manpower zimejaa tele, utajibeba wewe usiye jali afya yako.

5. Nina miaka takribani 2 sijakanyaga hospitali maana afya yangu iko FIT kila idara, utajibeba wewe kila siku hospitali.

6. Hunikatishi tamaa kwa kauli za kijinga na upotoshaji, nenda kapime afya yako.

7. Usikubali kurudiana na Mpenzi wako wa zamani maana huenda kaukwaa huko halafu akakusogezea wewe. Kuwa mjanja kama mteja wa maparachichi. Mapenzi sio sheria mpaka ule matapishi.

Deogratius Nalimi Kisandu.
Mteja wa maparachichi anao ujanja gani?
 
Daaah yani huyu jamaa mtoa post huwa sijui niseme hapendeki duuh maana kila post Yake akipost comments zake huwa zimejaa kudharauliwa, kuchoqwa na kuchukiwa ndani Yake..
 
Back
Top Bottom