PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Ohoooooo!!!wewe ukichezea bakora utapona tuu wanakudekeza huko unakuja kutusumbua huku na nyuzi zako za kitoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoooooo!!!wewe ukichezea bakora utapona tuu wanakudekeza huko unakuja kutusumbua huku na nyuzi zako za kitoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata saa mbovu kuna wakati inaonesha muda sahihi.
Nakushauri ukafadhi vipimo upya hasa magonjwa ya akili
Bado ipoKwani bhangi ilishatoka ktk kundi la dawa za kulevya??
ISIS usimshangae sana, samora machel pia alionekana chizi.Kwa kweli!
Umeona eeh! Kuna wagonjwa wa akili weeengi mnohahaha kuna sababu nyingi kwa nini tanzania ni masikini
Mteja wa maparachichi anao ujanja gani?KUHUSU AFYA YANGU Deogratius Kisandu.
1. Mimi sina UKIMWI hata chembe, na wala sijawahi kuwa na VVU, utajibeba wewe usiye jali afya yako. Utakufa na UKIMWI mwenyewe, utashangaa Deo anadunda tu.
2. Akili yangu iko safi kabisa haina chembe ya kuathirika kisaikolojia, ni mbwembwe tu za maadui.
3. Magonjwa ya zinaa sina Niko poa kabisa, utakoma wewe usiye jali afya yako.
4. Damu yangu ni Salama, Moyo wangu uko salama, Ini langu liko salama, Masikio na Macho yangu yako salama kabisa, sina matege, sina chongo, ulimi wangu uko safi, Manpower zimejaa tele, utajibeba wewe usiye jali afya yako.
5. Nina miaka takribani 2 sijakanyaga hospitali maana afya yangu iko FIT kila idara, utajibeba wewe kila siku hospitali.
6. Hunikatishi tamaa kwa kauli za kijinga na upotoshaji, nenda kapime afya yako.
7. Usikubali kurudiana na Mpenzi wako wa zamani maana huenda kaukwaa huko halafu akakusogezea wewe. Kuwa mjanja kama mteja wa maparachichi. Mapenzi sio sheria mpaka ule matapishi.
Deogratius Nalimi Kisandu.
Kisandu na wewe inabidi wakupeleke kwa mkemia mkuu