UZI UISHIE HAPA!Hakuna anachokumbuka hapo hata kimoja
Aliahidi angeua waandamanaji na ametekeleza.Samia alitoa ahadi kedekede za kutekelez ndani ya siku 100.
Mpaka leo zimeyoyoma karibia siku 50, yaani %50 ya siku 100 kutekeleza aliyoyahaidi majukwaani.
Je, ametimiza yapi kati ya haya machache aliyojigamba kuyafanya? ππ
- Mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio
- kugharimia kwa asilimia 100 matibabu na vipimo vya Kibingwa kwa Wananchi wasio na uwezo kwa magonjwa yasiyoambukiza, ikiwemo Saratani, Figo, Moyo, Sukari, Mifupa na Mishipa ya Fahamu.
- Kuajiri Wahudumu wa Afya Wapya 5,000
- Serikali itapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu yazijalipwa.
- Serikali itaandaa mkakati madhubuti wa Kisayansi kuhakikisha kila mtoto wa darasa la 3 anaweza kusoma, husebu na kuandika bila shida
- Serikali itatenga Bilioni 200 ili kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa Wafanyabishara ndogondogo
- Kurasimisha sekta zisizo rasmi yaani Mama Lishe , Maafisa Usafirishaji (Bodaboda), na bajaj
- Uanzishwaji wa Programu maalimu za Mitaa ya Viwanda Wilayani
- Ujenzi wa gridi ya Taifa ya maji utaanza kwa lengo za kuwa na vyanzo vya uhakika vya maji. π
- Uanzishwaji wa mifumo rafiki ya Uwajibikaji ambapo Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Watendaji wengine wa Serikali watatoa taarifa na kujibu maswali kutoka kwa Wananchi kwa njia ya Kidigitali na SMS za bure. π
'Kenge wa mama' ndiye nani tena huyo mkuu?Labda tuwasubiri KENGE WA MAMA waje kutoa ufafanuzi. Wakiongozwa na KENGE mkuu kutoka mwanjelwa huko
Jufunze kutumia lugha ya staha unapokosoa,itakusaidia maishani mwakoLabda tuwasubiri KENGE WA MAMA waje kutoa ufafanuzi. Wakiongozwa na KENGE mkuu kutoka mwanjelwa huko
Ahadi hizi zingelitungiwa sheria.Samia alitoa ahadi kedekede za kutekelez ndani ya siku 100.
Mpaka leo zimeyoyoma karibia siku 50, yaani %50 ya siku 100 kutekeleza aliyoyahaidi majukwaani.
Je, ametimiza yapi kati ya haya machache aliyojigamba kuyafanya? ππ
- Mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio
- kugharimia kwa asilimia 100 matibabu na vipimo vya Kibingwa kwa Wananchi wasio na uwezo kwa magonjwa yasiyoambukiza, ikiwemo Saratani, Figo, Moyo, Sukari, Mifupa na Mishipa ya Fahamu.
- Kuajiri Wahudumu wa Afya Wapya 5,000
- Serikali itapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu yazijalipwa.
- Serikali itaandaa mkakati madhubuti wa Kisayansi kuhakikisha kila mtoto wa darasa la 3 anaweza kusoma, husebu na kuandika bila shida
- Serikali itatenga Bilioni 200 ili kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa Wafanyabishara ndogondogo
- Kurasimisha sekta zisizo rasmi yaani Mama Lishe , Maafisa Usafirishaji (Bodaboda), na bajaj
- Uanzishwaji wa Programu maalimu za Mitaa ya Viwanda Wilayani
- Ujenzi wa gridi ya Taifa ya maji utaanza kwa lengo za kuwa na vyanzo vya uhakika vya maji. π
- Uanzishwaji wa mifumo rafiki ya Uwajibikaji ambapo Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Watendaji wengine wa Serikali watatoa taarifa na kujibu maswali kutoka kwa Wananchi kwa njia ya Kidigitali na SMS za bure. π
NILIWAI KUPIGWA BAN SANA HAPA JF MIAKA YA 2022 NILIPO WAAMBIA KUHUSU RAIS....Samia alitoa ahadi kedekede za kutekelez ndani ya siku 100.
Mpaka leo zimeyoyoma karibia siku 50, yaani %50 ya siku 100 kutekeleza aliyoyahaidi majukwaani.
Je, ametimiza yapi kati ya haya machache aliyojigamba kuyafanya? ππ
- Mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio
- kugharimia kwa asilimia 100 matibabu na vipimo vya Kibingwa kwa Wananchi wasio na uwezo kwa magonjwa yasiyoambukiza, ikiwemo Saratani, Figo, Moyo, Sukari, Mifupa na Mishipa ya Fahamu.
- Kuajiri Wahudumu wa Afya Wapya 5,000
- Serikali itapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu yazijalipwa.
- Serikali itaandaa mkakati madhubuti wa Kisayansi kuhakikisha kila mtoto wa darasa la 3 anaweza kusoma, husebu na kuandika bila shida
- Serikali itatenga Bilioni 200 ili kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa Wafanyabishara ndogondogo
- Kurasimisha sekta zisizo rasmi yaani Mama Lishe , Maafisa Usafirishaji (Bodaboda), na bajaj
- Uanzishwaji wa Programu maalimu za Mitaa ya Viwanda Wilayani
- Ujenzi wa gridi ya Taifa ya maji utaanza kwa lengo za kuwa na vyanzo vya uhakika vya maji. π
- Uanzishwaji wa mifumo rafiki ya Uwajibikaji ambapo Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Watendaji wengine wa Serikali watatoa taarifa na kujibu maswali kutoka kwa Wananchi kwa njia ya Kidigitali na SMS za bure. π
Yule kenge mkuu ni wa mbozi hukoLabda tuwasubiri KENGE WA MAMA waje kutoa ufafanuzi. Wakiongozwa na KENGE mkuu kutoka mwanjelwa huko