Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Kati ya watu wastaarabu humu jukwaani huwezi kuniacha kando. Ila inafika hatua mtu anajisifu kupasua vichwa vya watanganyika kwa risasi hapa jf hadharani halafu Mimi niendelee kumchekea? Kila kitu kina ukomo.Jufunze kutumia lugha ya staha unapokosoa,itakusaidia maishani mwako
Mnajisifu kuua watu? Kuna wakati itafika maiti zenu zitaburuzwa barabara huku mkidhalilishwa. Unaweza usiamini kwa sasa ila fuatilia historia mbalimbali kutoka mataifa kadha wa kadha ambayo viongozi walidhani wamefika na ni miungu watu.
Hapa tz Kila mtu alikuwa haamini kuwa watz wanaweza kuingia barabarani ila what happened?
USTAARABU UNAKIKOMO. HIWEZI KUNIKAMYAGA HALAFU MIMI NIFUTE FUMBI KIMYAKIMYA