Msemahaki kapata Rungu
JF-Expert Member
- Dec 2, 2025
- 267
- 149
Hivi siku 100 zimeshafika? Au kalenda yangu inanidanganya!Samia alitoa ahadi kedekede za kutekelez ndani ya siku 100
Hivi siku 100 zimeshafika? Au kalenda yangu inanidanganya!Samia alitoa ahadi kedekede za kutekelez ndani ya siku 100
Akikujibu nitagKwani anatambulika kwa uchaguzi gani?
Kuna ile ya kutoa mamba kwenye maji na kuwaweka nchi kavu na kuwapa wakina mama nafasi kwenye maji ambayo kSamia alitoa ahadi kedekede za kutekelez ndani ya siku 100.
Mpaka leo zimeyoyoma karibia siku 50, yaani %50 ya siku 100 kutekeleza aliyoyahaidi majukwaani.
Je, ametimiza yapi kati ya haya machache aliyojigamba kuyafanya? 😆😆
- Mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio
- kugharimia kwa asilimia 100 matibabu na vipimo vya Kibingwa kwa Wananchi wasio na uwezo kwa magonjwa yasiyoambukiza, ikiwemo Saratani, Figo, Moyo, Sukari, Mifupa na Mishipa ya Fahamu.
- Kuajiri Wahudumu wa Afya Wapya 5,000
- Serikali itapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu yazijalipwa.
- Serikali itaandaa mkakati madhubuti wa Kisayansi kuhakikisha kila mtoto wa darasa la 3 anaweza kusoma, husebu na kuandika bila shida
- Serikali itatenga Bilioni 200 ili kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa Wafanyabishara ndogondogo
- Kurasimisha sekta zisizo rasmi yaani Mama Lishe , Maafisa Usafirishaji (Bodaboda), na bajaj
- Uanzishwaji wa Programu maalimu za Mitaa ya Viwanda Wilayani
- Ujenzi wa gridi ya Taifa ya maji utaanza kwa lengo za kuwa na vyanzo vya uhakika vya maji. 😆
- Uanzishwaji wa mifumo rafiki ya Uwajibikaji ambapo Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Watendaji wengine wa Serikali watatoa taarifa na kujibu maswali kutoka kwa Wananchi kwa njia ya Kidigitali na SMS za bure. 😆
Sure lo. Time is the best answer
Hili linaendelea kwenye vutuo vya afya na mahospitalini as far as I know linawasumbua badoMfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio
Kuajiri Wahudumu wa Afya Wapya 5,000
Hili linatekelezwa linawahusisha pia ustawi wa jamii.Serikali itapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu yazijalipwa.
Utekeleza umeanza mwezi November darasa la pili walifanya mtihani wa KKK ili kufanya tathimini ya halihalisi.mashuleni.Serikali itaandaa mkakati madhubuti wa Kisayansi kuhakikisha kila mtoto wa darasa la 3 anaweza kusoma, husebu na kuandika bila shida
Maagizo yamepelekwa mawilani kila wilaya kuanzisha kongani ya viwanda na kuhakikisha vijana 2000 wanaajiriwa kila mwaka.Uanzishwaji wa Programu maalimu za Mitaa ya Viwanda Wilayani
Utekelezaji wake ni mgumu ila nimeona Wizara ya mambo ya ndani imeenza kutekeleza kwa kufungua web rasmi ya kupokea malalamiko na kuyatatu. Hapa kuna dogo namfahamu amefanikiwa kupata haki yake kwa njia hiyo.Uanzishwaji wa mifumo rafiki ya Uwajibikaji ambapo Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Watendaji wengine wa Serikali watatoa taarifa na kujibu maswali kutoka kwa Wananchi kwa njia ya Kidigitali na SMS za bure. 😆