PostGE2025 Kuhusu ahadi alizotoa Samia ndani ya siku 100 za kuwa Rais. Zipi kati ya hizi ametekeleza?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Jufunze kutumia lugha ya staha unapokosoa,itakusaidia maishani mwako
Kati ya watu wastaarabu humu jukwaani huwezi kuniacha kando. Ila inafika hatua mtu anajisifu kupasua vichwa vya watanganyika kwa risasi hapa jf hadharani halafu Mimi niendelee kumchekea? Kila kitu kina ukomo.

Mnajisifu kuua watu? Kuna wakati itafika maiti zenu zitaburuzwa barabara huku mkidhalilishwa. Unaweza usiamini kwa sasa ila fuatilia historia mbalimbali kutoka mataifa kadha wa kadha ambayo viongozi walidhani wamefika na ni miungu watu.

Hapa tz Kila mtu alikuwa haamini kuwa watz wanaweza kuingia barabarani ila what happened?

USTAARABU UNAKIKOMO. HIWEZI KUNIKAMYAGA HALAFU MIMI NIFUTE FUMBI KIMYAKIMYA
 
Sema kapitia misukosuko huenda ndo maana hajatekeleza

Atakwambia 9D nayo ilimvuruga
 
Kila kukicha mnatangaza maandamano ya vurugu sasa hamjampa utulivu wa nafsi hizo ahadi atatekelezaji kwa hizo chache namna hiyo??
 
Hakuna Utu wala kazi.
 
Ngoja msigwa aje atupake nafu kwa mgongo wa chupa
 
Kama kuna mtu hakuchanganya na akili zake wakati Sa100 anatoa ahadi hewa kwenye kampeni atasubiri sana hizo siku 100!
 
Yupo kwao analoga kwanza
 
Hakuna anachokumbuka hapo hata kimoja
Anakumbuka vyote, ahadi akitoa Mmh Rais watendaji hua wananukuu na kuzifanyia kazi,
Hivyo zinafanyiwa kazi na zingine utekelezaji ulishaanza
 

Duh
 
Kwani ni lini masisiemu yaliwahi kusema ukweli na kusimamia? Ni trend tu na wala yeye sio special sn kuliko mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…