PostGE2025 Kuhusu ahadi alizotoa Samia ndani ya siku 100 za kuwa Rais. Zipi kati ya hizi ametekeleza?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna ile ya kutoa mamba kwenye maji na kuwaweka nchi kavu na kuwapa wakina mama nafasi kwenye maji ambayo k
 
Mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio
Hili linaendelea kwenye vutuo vya afya na mahospitalini as far as I know linawasumbua bado
Kuajiri Wahudumu wa Afya Wapya 5,000

Usaili unaendelea kwenye mikoa pamoja na kada ya elimu.
Serikali itapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya Marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu yazijalipwa.
Hili linatekelezwa linawahusisha pia ustawi wa jamii.
Serikali itaandaa mkakati madhubuti wa Kisayansi kuhakikisha kila mtoto wa darasa la 3 anaweza kusoma, husebu na kuandika bila shida
Utekeleza umeanza mwezi November darasa la pili walifanya mtihani wa KKK ili kufanya tathimini ya halihalisi.mashuleni.
Uanzishwaji wa Programu maalimu za Mitaa ya Viwanda Wilayani
Maagizo yamepelekwa mawilani kila wilaya kuanzisha kongani ya viwanda na kuhakikisha vijana 2000 wanaajiriwa kila mwaka.
Uanzishwaji wa mifumo rafiki ya Uwajibikaji ambapo Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Watendaji wengine wa Serikali watatoa taarifa na kujibu maswali kutoka kwa Wananchi kwa njia ya Kidigitali na SMS za bure. πŸ˜†
Utekelezaji wake ni mgumu ila nimeona Wizara ya mambo ya ndani imeenza kutekeleza kwa kufungua web rasmi ya kupokea malalamiko na kuyatatu. Hapa kuna dogo namfahamu amefanikiwa kupata haki yake kwa njia hiyo.

Ambayo sijajibu sina hakika nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…