KUHUSU AMO

KUHUSU AMO

Mchinox

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
242
Reaction score
268
Hivii mtu akitaka kusoma AMO afate taratibu zipi kwa sasa hivi....?
Japo kwa Tanzania haipo,je akitaka kusoma nje inawezekana??
Na taratibu na vigezo zipoje???
 
Hiyo kozi sidhani kama nje inatambulika ,,,au kuna mahali umeona wanatoa mkuu utufahamishe hapa?
 
Hivii mtu akitaka kusoma AMO afate taratibu zipi kwa sasa hivi....?
Japo kwa Tanzania haipo,je akitaka kusoma nje inawezekana??
Na taratibu na vigezo zipoje???
AMO siku hizi Ni Bachelor ya CM (Clinical medicine)...
Ruksa Kusoma na Ukiwa na Vigezo
 
Hiyo kozi sidhani kama nje inatambulika ,,,au kuna mahali umeona wanatoa mkuu utufahamishe hapa?
Siku hizo Ukisoma Bachelor ya Clinical medicine Officially unatambulika Tanzania kama AMO ila kenya Wanakutambua kama Senior CO
 
Siku hizo Ukisoma Bachelor ya Clinical medicine Offially unatambulika Tanzania kama AMO ila kenya Wanakutambua kama Senior CO
Duh sasa hapo ni upotevu wa hela tu...bora umalizie mwaka 1 uwe MD kabisa.
 
Internal usiihisabie mkuu ni kama upo kazini kwa mafunzo hapo uhesabie mwaka huo mmoja kitu ambacho sio mbaya maana ukija na Mshahara ukiajiriwa super ila Clinical una bachela then utahangaika maana sidhani kama hata serikali tayari wamewaconsider hawa watu au wanapewa heshima inayostahili.
 
Back
Top Bottom