Whitesmith
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 387
- 517
Mheshimiwa Rais tunakuomba uteue bodi ya Contractors Registration Body.
Kuna kazi nyingi zimesimama kutokana na bodi kufutwa. Kuna makampuni yanasubiri update, mengine mapya yanasubiri kusajiliwa. Maisha kwa upande wa huku kama yamesimama na athari ni kubwa Sana.
Naleta kwa kwa msaada mheshimiwa Rais