Kuhusu bodi ya CRB

Kuhusu bodi ya CRB

Whitesmith

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
387
Reaction score
517
Mheshimiwa Rais tunakuomba uteue bodi ya Contractors Registration Body.
Kuna kazi nyingi zimesimama kutokana na bodi kufutwa. Kuna makampuni yanasubiri update, mengine mapya yanasubiri kusajiliwa. Maisha kwa upande wa huku kama yamesimama na athari ni kubwa Sana.
Naleta kwa kwa msaada mheshimiwa Rais
 
Naleta kwa kwa msaada mheshimiwa Raism

Mheshimiwa Rais tunakuomba uteue bodi ya Contractors Registration Body.
Kuna kazi nyingi zimesimama kutokana na bodi kufutwa. Kuna makampuni yanasubiri update, mengine mapya yanasubiri kusajiliwa. Maisha kwa upande wa huku kama yamesimama na athari ni kubwa Sana.
Naleta kwa kwa msaada mheshimiwa Rais
Mkuu imefutwa toka lini?
 
Anaye teua ni waziri wa ujenzi. Imefutwa toka lini?
 
Tumekuwa tukifuatilia upgrade za kampuni lakini tumejibiwa bodi haina members muhimu hivyo kila kitu kimekwama
 
Back
Top Bottom