Whitesmith
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 387
- 517
Mheshimiwa Rais tunakuomba uteue bodi ya Contractors Registration Body.
Kuna kazi nyingi zimesimama kutokana na bodi kufutwa. Kuna makampuni yanasubiri update, mengine mapya yanasubiri kusajiliwa. Maisha kwa upande wa huku kama yamesimama na athari ni kubwa Sana.
Naleta kwa kwa msaada mheshimiwa Raism
Mkuu imefutwa toka lini?Mheshimiwa Rais tunakuomba uteue bodi ya Contractors Registration Body.
Kuna kazi nyingi zimesimama kutokana na bodi kufutwa. Kuna makampuni yanasubiri update, mengine mapya yanasubiri kusajiliwa. Maisha kwa upande wa huku kama yamesimama na athari ni kubwa Sana.
Naleta kwa kwa msaada mheshimiwa Rais
Anaye teua ni waziri wa ujenzi. Imefutwa toka lini?Mheshimiwa Rais tunakuomba uteue bodi ya Contractors Registration Body.
Kuna kazi nyingi zimesimama kutokana na bodi kufutwa. Kuna makampuni yanasubiri update, mengine mapya yanasubiri kusajiliwa. Maisha kwa upande wa huku kama yamesimama na athari ni kubwa Sana.
Naleta kwa kwa msaada mheshimiwa Rais
Tumekuwa tukifuatilia upgrade za kampuni lakini tumejibiwa bodi haina members muhimu hivyo kila kitu kimekwamaMkuu imefutwa toka lini?
Body iliyokuwepo imemaliza muda wake na bado waziri hajachagua body mpya.Tumekuwa tukifuatilia upgrade za kampuni lakini tumejibiwa bodi haina members muhimu hivyo kila kitu kimekwama