saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Jana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD kuhusu askari wanyama pori aliyepigwa mshale wa sumu akitetea wahalifu wasikamatwae na kufundisha polisi namna ya kufanya kazi. Ameshaanza uchochezi. Lugha zao ni mbaya zina karaha, zinaudhi wakati kuna ligha nzuri za staha za kuwasilisha jumbe.
Mzanzibari anadai ukombozi wa nchi hii umeanzia Tarime, ukombozi wa nini? Haya ni malofa sijawahi ona! Yanadai masomi. Unajidai mbele ya wananchi amabo mwenyewe unaitwa maskini na Volkswagen ndiyo aliyejipa ubunge wa Tarime