saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Acha mihemko wew! Unatakaje? Kwamba waimbe anaupiga mwingi ama? Aliewatesa CDM unasema alikua sahihi au vp then after that nan alibaki kati ya CDM na aliewatesa!!Jana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD...
Pia tuwekee evidence ya clip hapa akitetea uhalifu na jinsi anavyowafundisha polisi kufanya kaz zao!!Jana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD kuhusu...
Watamkwamisha kwa lipi?jamani?ccm wapo Ikulu tangu 1961!Wana jeshi,polisi,ndio watunga sera zote,wanakusanya mapato wao, TRA ni wao, wanamteua kila mtu kuanzia kwenye halmashauri mpaka Ikulu!!kila shilingi inayokusanywa hapa bongo, imepita kwenye mikono ya ccm.Jana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD kuhusu askari wanyama pori aliyepigwa...
Umeandika nini sasa? Rudia kusoma ulichoandika wewe chawa ujione ulivyo pungaJana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD kuhusu askari wanyama pori aliyepigwa mshale wa sumu akitetea wahalifu wasikamatwae na kufundisha polisi namna ya kufanya kazi. Ameshaanza uchochezi. Lugha zao ni mbaya zina karaha, zinaudhi wakati kuna ligha nzuri za staha za kuwasilisha jumbe.
Mzanzibari anadai ukombozi wa nchi hii umeanzia Tarime, ukombozi wa nini? Haya ni malofa sijawahi ona! Yanadai masomi. Unajidai mbele ya wananchi amabo mwenyewe unaitwa maskini na Volkswagen ndiyo aliyejipa ubunge wa Tarime
Nadhan ungekufa tu kwa faida ya umma, km siasa zitafanyika na kama umechukia ama ufe au amia Burundi kwa wahutu wenzake dictator JPMJana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD kuhusu askari wanyama pori aliyepigwa mshale wa sumu akitetea wahalifu wasikamatwae na kufundisha polisi namna ya kufanya kazi. Ameshaanza uchochezi. Lugha zao ni mbaya zina karaha, zinaudhi wakati kuna ligha nzuri za staha za kuwasilisha jumbe.
Mzanzibari anadai ukombozi wa nchi hii umeanzia Tarime, ukombozi wa nini? Haya ni malofa sijawahi ona! Yanadai masomi. Unajidai mbele ya wananchi amabo mwenyewe unaitwa maskini na Volkswagen ndiyo aliyejipa ubunge wa Tarime
Umeshalipa Tozo? Vipi kwako umeme unawaka?Jana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD kuhusu askari wanyama pori aliyepigwa mshale wa sumu akitetea wahalifu wasikamatwae na kufundisha polisi namna ya kufanya kazi. Ameshaanza uchochezi. Lugha zao ni mbaya zina karaha, zinaudhi wakati kuna ligha nzuri za staha za kuwasilisha jumbe.
Mzanzibari anadai ukombozi wa nchi hii umeanzia Tarime, ukombozi wa nini? Haya ni malofa sijawahi ona! Yanadai masomi. Unajidai mbele ya wananchi amabo mwenyewe unaitwa maskini na Volkswagen ndiyo aliyejipa ubunge wa Tarime