La Quica
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 1,009
- 2,315
Wakuu cheti cha kuzaliwa siku hizi ndio kipo hivi au hiki ni provisional tu?
Hapa nimemwambia manzi wangu anitumie cheti cha kuzaliwa cha mwanae ili nifuatilie masuala ya bima ya afya akanitumia kinachofanana na hiki.
Sasa sijui kama hiki ndio cha siku hizi au inakuwaje.
Naomba mwenye kuelewa anisaidie kunifafanulia.