La Quica
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 1,009
- 2,315
- Thread starter
- #21
Kwanini wasikitoea sasa mkuu. Je wakiuliza kiko wapi? Na je ni kila mtoto anezaliwa anapata hicho kirisiti?Ukitaka nenda kachukue RITA kile cha kutype na computer
Ila nenda ukiwa na kadi ya kliniki ya mtoto,na hicho cheti usikionyeshe.
Vinginevyo hupati.
Maana unaweza kuenda huko RITA wakakidai ukasema huna kumbe kila mtoto anapewa akizaliwa ukaumbuka.